Mkuu Ileje naomba umjibu huu mchangiaji. Hata mimi huwa nauliza kila siku, ni jambo gani (zaidi ya kuwa karibu na mwl. Nyerere kikazi) ambalo alishalifanya au kutoka hadharani na kukemea? Ndiyo, nimemsikia akitoa maoni yenye msimamo hapa na pale tena kwa kuuma na kupuliza, lakini alishatoa msimamo wa jambo gani kubwa akaongea bila kumung'unya maneno?Huyu mzee nimaenza kumsikia mika hii ya 2022+ sijui ana maajabu gani ya watu kumpa airtime
Tatizo anataka aonekane safi kwa wote wauaji na wafiwa.Kwa muda mrefu Mzee Butiku alikuwa anaheshimika ndani ya CCM na vijana kwa ujumla. Ndani ya CCM aliheshimika kama mmoja wa waasisi na mlezi wa vijana. Pia viongozi wa CCM walikuwa wakienda kwake kupata ushauri katika mambo mbalimbali ya kisiasa ndani ya chama chao.
Kwa vijana Mzee Butiku aliheshimika kwa misimamo yake thabiti ya kutetea haki na uhuru wa mawazo.
Kilichompata sasa hivi wengi wanashangaa, amelambishwa asali mpaka amevimbiwa! Kawa chawa kupita Maelezo, kawa mnafiki kupita machangudoa, kawa msaliti sawa na Yuda Eskarioti! Mzee kawa balaa!
Walio mlambisha asali hawataki hata kumsikia, kawa sawa na Paulo mchafu na sasa hawataki kucheza naye kama yule Paulo katika kitabu cha "Someni kwa furaha" cha darasa la pili la wahenga!
Vijana nao hawataki kusikia ushauri kutoka kwake hadi wamemtungia mashairi "Mzee Butiku hatutaki ushauri wako"
Pole sana Mzee Butiku kale ulikopeleka mboga!
EEeeeeennnHEEEEeeeeee!Walio mlambisha asali hawataki hata kumsikia, kawa sawa na Paulo mchafu na sasa hawataki kucheza naye kama yule Paulo katika kitabu cha "Someni kwa furaha" cha darasa la pili la wahenga!
Mimi hata sijui alikuwa nani kwenye nchii hii licha ya kuwa nimezaliwa miama ya 80'sHuyu mzee nimaenza kumsikia mika hii ya 2022+ sijui ana maajabu gani ya watu kumpa airtime
Mkuu ni kweli huyu mzee alikubal8ka hapo mwanzo kabla Polepole hajatekwa. Ingawa wengi hata hawamfaham vizuri ila tu ilitokea kakubalika. Ila sasa hivi ni hovyo na bure kabisa hana tofauti na wazee wenzake humu kina Mzee makotiMkuu Ileje naomba umjibu huu mchangiaji. Hata mimi huwa nauliza kila siku, ni jambo gani (zaidi ya kuwa karibu na mwl. Nyerere kikazi) ambalo alishalifanya au kutoka hadharani na kukemea? Ndiyo, nimemsikia akitoa maoni yenye msimamo hapa na pale tena kwa kuuma na kupuliza, lakini alishatoa msimamo wa jambo gani kubwa akaongea bila kumung'unya maneno?
Ni kama balaa kumtetea huyu mzee aliyegeuka kuwa kituko cha ajabuu sana wakati huu; lakini binafsi nikiri hapa kuwa niliwahi kumsikia akizungumza kama mtu mwenye msimamo unaoeleweka kabla ya kugeuka kama alivyofanya sasa.Mkuu Ileje naomba umjibu huu mchangiaji. Hata mimi huwa nauliza kila siku, ni jambo gani (zaidi ya kuwa karibu na mwl. Nyerere kikazi) ambalo alishalifanya au kutoka hadharani na kukemea? Ndiyo, nimemsikia akitoa maoni yenye msimamo hapa na pale tena kwa kuuma na kupuliza, lakini alishatoa msimamo wa jambo gani kubwa akaongea bila kumung'unya maneno?
Kama nakumbuka vema cheo kikubwa cha kiserikali alichowahi kupewa ni kuwa Mkuu wa Mkoa! Hata hivyo Nyerere alimtumia kama mshauri wake wa siasa na kilichombeba ni ule U-Homeboy, vinginevyo siyo Heavyweight katika siasa! Ilipoanzishwa taasisi ya Mwalimu Nyerere akapewa Uenyekiti na hadi leo anakula posho za taasisi hiyo!Mkuu Ileje naomba umjibu huu mchangiaji. Hata mimi huwa nauliza kila siku, ni jambo gani (zaidi ya kuwa karibu na mwl. Nyerere kikazi) ambalo alishalifanya au kutoka hadharani na kukemea? Ndiyo, nimemsikia akitoa maoni yenye msimamo hapa na pale tena kwa kuuma na kupuliza, lakini alishatoa msimamo wa jambo gani kubwa akaongea bila kumung'unya maneno?
Hahhaa Tunasikia Mzee butiku mzee butiku hadi masikio yanaziba sasa kumbe ndio hayo tu?Kama nakumbuka vema cheo kikubwa cha kiserikali alichowahi kupewa ni kuwa Mkuu wa Mkoa! Hata hivyo Nyerere alimtumia kama mshauri wake wa siasa na kilichombeba ni ule U-Homeboy, vinginevyo siyo Heavyweight katika siasa! Ilipoanzishwa taasisi ya Mwalimu Nyerere akapewa Uenyekiti na hadi leo anakula posho za taasisi hiyo!
OkayKwenye mahojiano hayo hakuumauma maneno, alieleweka tu vizuri; na nadhani ndiyo sababu yeye na Mzee Warioba wakawa wamejipambanua kuwa tofauti na kundi hili la uovu ndani ya CCM.
Hivi mnaendaga kwa wapumbavu kutafuta ushauri kwa sababu gani ....si bora wangetafuta ushauri kwangu πππ hivi kiumbe kama kikwete anaweza kushauri nini ? Zaidi ya upuuziKwa muda mrefu Mzee Butiku alikuwa anaheshimika ndani ya CCM na vijana kwa ujumla. Ndani ya CCM aliheshimika kama mmoja wa waasisi na mlezi wa vijana. Pia viongozi wa CCM walikuwa wakienda kwake kupata ushauri katika mambo mbalimbali ya kisiasa ndani ya chama chao.
Kwa vijana Mzee Butiku aliheshimika kwa misimamo yake thabiti ya kutetea haki na uhuru wa mawazo.
Kilichompata sasa hivi wengi wanashangaa, amelambishwa asali mpaka amevimbiwa! Kawa chawa kupita Maelezo, kawa mnafiki kupita machangudoa, kawa msaliti sawa na Yuda Eskarioti! Mzee kawa balaa!
Walio mlambisha asali hawataki hata kumsikia, kawa sawa na Paulo mchafu na sasa hawataki kucheza naye kama yule Paulo katika kitabu cha "Someni kwa furaha" cha darasa la pili la wahenga!
Vijana nao hawataki kusikia ushauri kutoka kwake hadi wamemtungia mashairi "Mzee Butiku hatutaki ushauri wako"
Pole sana Mzee Butiku kale ulikopeleka mboga!
Bora iwe hivyo akili zirudi kwenye mhimili wakeKwa muda mrefu Mzee Butiku alikuwa anaheshimika ndani ya CCM na vijana kwa ujumla. Ndani ya CCM aliheshimika kama mmoja wa waasisi na mlezi wa vijana. Pia viongozi wa CCM walikuwa wakienda kwake kupata ushauri katika mambo mbalimbali ya kisiasa ndani ya chama chao.
Kwa vijana Mzee Butiku aliheshimika kwa misimamo yake thabiti ya kutetea haki na uhuru wa mawazo.
Kilichompata sasa hivi wengi wanashangaa, amelambishwa asali mpaka amevimbiwa! Kawa chawa kupita Maelezo, kawa mnafiki kupita machangudoa, kawa msaliti sawa na Yuda Eskarioti! Mzee kawa balaa!
Walio mlambisha asali hawataki hata kumsikia, kawa sawa na Paulo mchafu na sasa hawataki kucheza naye kama yule Paulo katika kitabu cha "Someni kwa furaha" cha darasa la pili la wahenga!
Vijana nao hawataki kusikia ushauri kutoka kwake hadi wamemtungia mashairi "Mzee Butiku hatutaki ushauri wako"
Pole sana Mzee Butiku kale ulikopeleka mboga!
SameMimi hata sijui alikuwa nani kwenye nchii hii licha ya kuwa nimezaliwa miama ya 80's