Mzee Butiku sasa ni yatima; CCM hawamtaki na vijana hawamtaki!

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
13,667
Reaction score
21,296
Kwa muda mrefu Mzee Butiku alikuwa anaheshimika ndani ya CCM na vijana kwa ujumla. Ndani ya CCM aliheshimika kama mmoja wa waasisi na mlezi wa vijana. Pia viongozi wa CCM walikuwa wakienda kwake kupata ushauri katika mambo mbalimbali ya kisiasa ndani ya chama chao.

Kwa vijana Mzee Butiku aliheshimika kwa misimamo yake thabiti ya kutetea haki na uhuru wa mawazo.

Kilichompata sasa hivi wengi wanashangaa, amelambishwa asali mpaka amevimbiwa! Kawa chawa kupita Maelezo, kawa mnafiki kupita machangudoa, kawa msaliti sawa na Yuda Eskarioti! Mzee kawa balaa!

Walio mlambisha asali hawataki hata kumsikia, kawa sawa na Paulo mchafu na sasa hawataki kucheza naye kama yule Paulo katika kitabu cha "Someni kwa furaha" cha darasa la pili la wahenga!

Vijana nao hawataki kusikia ushauri kutoka kwake hadi wamemtungia mashairi "Mzee Butiku hatutaki ushauri wako"

Pole sana Mzee Butiku kale ulikopeleka mboga!
 
Huyu mzee nimaenza kumsikia mika hii ya 2022+ sijui ana maajabu gani ya watu kumpa airtime
Mkuu Ileje naomba umjibu huu mchangiaji. Hata mimi huwa nauliza kila siku, ni jambo gani (zaidi ya kuwa karibu na mwl. Nyerere kikazi) ambalo alishalifanya au kutoka hadharani na kukemea? Ndiyo, nimemsikia akitoa maoni yenye msimamo hapa na pale tena kwa kuuma na kupuliza, lakini alishatoa msimamo wa jambo gani kubwa akaongea bila kumung'unya maneno?
 
Kwa muda mrefu Mzee Butiku alikuwa anaheshimika ndani ya CCM na vijana kwa ujumla. Ndani ya CCM aliheshimika kama mmoja wa waasisi na mlezi wa vijana. Pia viongozi wa CCM walikuwa wakienda kwake kupata ushauri katika mambo mbalimbali ya kisiasa ndani ya chama chao.

Kwa vijana Mzee Butiku aliheshimika kwa misimamo yake thabiti ya kutetea haki na uhuru wa mawazo.

Kilichompata sasa hivi wengi wanashangaa, amelambishwa asali mpaka amevimbiwa! Kawa chawa kupita Maelezo, kawa mnafiki kupita machangudoa, kawa msaliti sawa na Yuda Eskarioti! Mzee kawa balaa!

Walio mlambisha asali hawataki hata kumsikia, kawa sawa na Paulo mchafu na sasa hawataki kucheza naye kama yule Paulo katika kitabu cha "Someni kwa furaha" cha darasa la pili la wahenga!

Vijana nao hawataki kusikia ushauri kutoka kwake hadi wamemtungia mashairi "Mzee Butiku hatutaki ushauri wako"

Pole sana Mzee Butiku kale ulikopeleka mboga!
Tatizo anataka aonekane safi kwa wote wauaji na wafiwa.
 
Walio mlambisha asali hawataki hata kumsikia, kawa sawa na Paulo mchafu na sasa hawataki kucheza naye kama yule Paulo katika kitabu cha "Someni kwa furaha" cha darasa la pili la wahenga!
EEeeeeennnHEEEEeeeeee!

Hivi hiki kitabu bado kipo?

Unanikumbusha 'Paul' rafiki yangu darasani. Kwa jina hilo tu, akawa ni mtu mashuhuri darasa zima!
Nadhani itabidi nikitafute kitabu hiki nijikumbushe.

Mzee Butiku hafai tena kushikilia nafasi aliyo nayo kwenye Foundation ya Mwalimu. Anaitia nuksi.
 
Paulo usije kucheza na sisi una mikono michafu
Sabuni ni dawa hutaki kunawa,una mikono michafu.
 
Mkuu Ileje naomba umjibu huu mchangiaji. Hata mimi huwa nauliza kila siku, ni jambo gani (zaidi ya kuwa karibu na mwl. Nyerere kikazi) ambalo alishalifanya au kutoka hadharani na kukemea? Ndiyo, nimemsikia akitoa maoni yenye msimamo hapa na pale tena kwa kuuma na kupuliza, lakini alishatoa msimamo wa jambo gani kubwa akaongea bila kumung'unya maneno?
Mkuu ni kweli huyu mzee alikubal8ka hapo mwanzo kabla Polepole hajatekwa. Ingawa wengi hata hawamfaham vizuri ila tu ilitokea kakubalika. Ila sasa hivi ni hovyo na bure kabisa hana tofauti na wazee wenzake humu kina Mzee makoti
 
Ni kama balaa ku
Mkuu Ileje naomba umjibu huu mchangiaji. Hata mimi huwa nauliza kila siku, ni jambo gani (zaidi ya kuwa karibu na mwl. Nyerere kikazi) ambalo alishalifanya au kutoka hadharani na kukemea? Ndiyo, nimemsikia akitoa maoni yenye msimamo hapa na pale tena kwa kuuma na kupuliza, lakini alishatoa msimamo wa jambo gani kubwa akaongea bila kumung'unya maneno?
Ni kama balaa kumtetea huyu mzee aliyegeuka kuwa kituko cha ajabuu sana wakati huu; lakini binafsi nikiri hapa kuwa niliwahi kumsikia akizungumza kama mtu mwenye msimamo unaoeleweka kabla ya kugeuka kama alivyofanya sasa.

Kumbukumbu yangu ni mahojiano aliyofanya na mtangazaji Farhia (?) wa ITV' kama miaka miwili iliyopita.

Kwenye mahojiano hayo hakuumauma maneno, alieleweka tu vizuri; na nadhani ndiyo sababu yeye na Mzee Warioba wakawa wamejipambanua kuwa tofauti na kundi hili la uovu ndani ya CCM.

Huyu mzee hakubadilika hivi hivi tu. Kuna nguvu kubwa sana imetumika. Inasikitisha mzee kama huyu anaweza kuyumbishwa kwa pesa au vitisho, na kukubali kuharibu hadhi yake katika jamii kiasi hiki alichojionyesha mwenyewe.
Hii ni aibu kubwa sana kwake na walio karibu naye.
 
Mkuu Ileje naomba umjibu huu mchangiaji. Hata mimi huwa nauliza kila siku, ni jambo gani (zaidi ya kuwa karibu na mwl. Nyerere kikazi) ambalo alishalifanya au kutoka hadharani na kukemea? Ndiyo, nimemsikia akitoa maoni yenye msimamo hapa na pale tena kwa kuuma na kupuliza, lakini alishatoa msimamo wa jambo gani kubwa akaongea bila kumung'unya maneno?
Kama nakumbuka vema cheo kikubwa cha kiserikali alichowahi kupewa ni kuwa Mkuu wa Mkoa! Hata hivyo Nyerere alimtumia kama mshauri wake wa siasa na kilichombeba ni ule U-Homeboy, vinginevyo siyo Heavyweight katika siasa! Ilipoanzishwa taasisi ya Mwalimu Nyerere akapewa Uenyekiti na hadi leo anakula posho za taasisi hiyo!
 
Hahhaa Tunasikia Mzee butiku mzee butiku hadi masikio yanaziba sasa kumbe ndio hayo tu?
 
Kwenye mahojiano hayo hakuumauma maneno, alieleweka tu vizuri; na nadhani ndiyo sababu yeye na Mzee Warioba wakawa wamejipambanua kuwa tofauti na kundi hili la uovu ndani ya CCM.
Okay
 
Kwa muda mrefu Mzee Butiku alikuwa anaheshimika ndani ya CCM na vijana kwa ujumla. Ndani ya CCM aliheshimika kama mmoja wa waasisi na mlezi wa vijana. Pia viongozi wa CCM walikuwa wakienda kwake kupata ushauri katika mambo mbalimbali ya kisiasa ndani ya chama chao.

Kwa vijana Mzee Butiku aliheshimika kwa misimamo yake thabiti ya kutetea haki na uhuru wa mawazo.

Kilichompata sasa hivi wengi wanashangaa, amelambishwa asali mpaka amevimbiwa! Kawa chawa kupita Maelezo, kawa mnafiki kupita machangudoa, kawa msaliti sawa na Yuda Eskarioti! Mzee kawa balaa!

Walio mlambisha asali hawataki hata kumsikia, kawa sawa na Paulo mchafu na sasa hawataki kucheza naye kama yule Paulo katika kitabu cha "Someni kwa furaha" cha darasa la pili la wahenga!

Vijana nao hawataki kusikia ushauri kutoka kwake hadi wamemtungia mashairi "Mzee Butiku hatutaki ushauri wako"

Pole sana Mzee Butiku kale ulikopeleka mboga!
Hivi mnaendaga kwa wapumbavu kutafuta ushauri kwa sababu gani ....si bora wangetafuta ushauri kwangu 😁😁😁 hivi kiumbe kama kikwete anaweza kushauri nini ? Zaidi ya upuuzi
 
Hivi ule mkutano wa "wazee" aloitisha na kusema utafanyika leo upo, au ushafutwa?

Kwenye ile "press" yake alikuwa anauma na kupuliza ukute kawaogopesha wahuni
 
Kwa muda mrefu Mzee Butiku alikuwa anaheshimika ndani ya CCM na vijana kwa ujumla. Ndani ya CCM aliheshimika kama mmoja wa waasisi na mlezi wa vijana. Pia viongozi wa CCM walikuwa wakienda kwake kupata ushauri katika mambo mbalimbali ya kisiasa ndani ya chama chao.

Kwa vijana Mzee Butiku aliheshimika kwa misimamo yake thabiti ya kutetea haki na uhuru wa mawazo.

Kilichompata sasa hivi wengi wanashangaa, amelambishwa asali mpaka amevimbiwa! Kawa chawa kupita Maelezo, kawa mnafiki kupita machangudoa, kawa msaliti sawa na Yuda Eskarioti! Mzee kawa balaa!

Walio mlambisha asali hawataki hata kumsikia, kawa sawa na Paulo mchafu na sasa hawataki kucheza naye kama yule Paulo katika kitabu cha "Someni kwa furaha" cha darasa la pili la wahenga!

Vijana nao hawataki kusikia ushauri kutoka kwake hadi wamemtungia mashairi "Mzee Butiku hatutaki ushauri wako"

Pole sana Mzee Butiku kale ulikopeleka mboga!
Bora iwe hivyo akili zirudi kwenye mhimili wake
 
Hivi mnaendaga kwa wapumbavu kutafuta ushauri kwa sababu gani ....si bora wangetafuta ushauri kwangu 😁😁😁 hivi kiumbe kama kikwete anaweza kushauri nini ? Zaidi ya upuuzi
Screenshot_20250729-090555~2.png
 
Hawamtaki wakati wamempa bilioni moja awafanyie kazi. Mzee Butiku katuuza watanzania leo anakuja na matamko na watu wake wa ovyo sana.
 
Back
Top Bottom