Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
UDIKTETA UMESHAMIRIMzee Joseph Butiku amesema watu wote wanaliopigania haki wamepata misukosuko kutokana na tabia za binadamu kutojali haki za wengine. Amesema kuwa haki za binadamu zina misukosuko kutokana na kwamba wapo wanaozitaka na wasiozitaka, ni tabia ya binadamu apate yeye, ukose wewe. Ameongeza kuwa ukishatengeneza Serikali na ukawapa watu nafasi , katika mfumo wa uchoyo uliokithiri mwingine atataka apate zaidi, wewe usipate.
Ameshauri kwamba Taifa lazima ling'ang'anie misingi iliyowekwa ya kupigania haki ili kuhakikisha haki hizo zinapatikana.
Tatizo.la Butiku,Warioba,Dk Salim wanaibudu zaidi CCM kisiasa wanaonakabisa mambo yakiharibika ila wanauma na kupuliza!.Nayaona maomivu anayoyapata mzee Butiku lakini ajue waliowakabidhi nchii wanahesabu siku tu wazee wafariki wao waendelee kupiga.
Hawa wazee waliwahi kuwa na heshima sana, walikuwa wakisema wanasikika, leo wamebaki wametupwa hata matamasha hawapewi na hawaalikwi tena.
Mi naweza kumshauri apumzike kwa amani, taifa waliwapa watu ambao hawakustahili sasa wanaona shida yake, na imetoka hiyo.
Mafisadi hawapendo kusemwa semwaMzee Joseph Butiku amesema watu wote wanaliopigania haki wamepata misukosuko kutokana na tabia za binadamu kutojali haki za wengine. Amesema kuwa haki za binadamu zina misukosuko kutokana na kwamba wapo wanaozitaka na wasiozitaka, ni tabia ya binadamu apate yeye, ukose wewe. Ameongeza kuwa ukishatengeneza Serikali na ukawapa watu nafasi , katika mfumo wa uchoyo uliokithiri mwingine atataka apate zaidi, wewe usipate.
Ameshauri kwamba Taifa lazima ling'ang'anie misingi iliyowekwa ya kupigania haki ili kuhakikisha haki hizo zinapatikana.
Walijali Chama kuliko Taifa. Sasa tunatumbukia shimoni sote.Nayaona maomivu anayoyapata mzee Butiku lakini ajue waliowakabidhi nchii wanahesabu siku tu wazee wafariki wao waendelee kupiga.
Hawa wazee waliwahi kuwa na heshima sana, walikuwa wakisema wanasikika, leo wamebaki wametupwa hata matamasha hawapewi na hawaalikwi tena.
Mi naweza kumshauri apumzike kwa amani, taifa waliwapa watu ambao hawakustahili sasa wanaona shida yake, na imetoka hiyo.
Mpaka wakili akitetea haki anashtakiwa anyofolewe. Sasa nani atasimama tena?
Mwenye rikodi ya Mzee Butiku akimkosoa Mwl.Nyerere naomba atutumie humu tue na chakujifunzaMzee Joseph Butiku amesema watu wote wanaliopigania haki wamepata misukosuko kutokana na tabia za binadamu kutojali haki za wengine. Amesema kuwa haki za binadamu zina misukosuko kutokana na kwamba wapo wanaozitaka na wasiozitaka, ni tabia ya binadamu apate yeye, ukose wewe. Ameongeza kuwa ukishatengeneza Serikali na ukawapa watu nafasi , katika mfumo wa uchoyo uliokithiri mwingine atataka apate zaidi, wewe usipate.
Ameshauri kwamba Taifa lazima ling'ang'anie misingi iliyowekwa ya kupigania haki ili kuhakikisha haki hizo zinapatikana.
Umeuona muswaada ulipelekwa bungeni kuhusu maslahi yao? Wameongezewa mapesa na magari na mishahara. Ile ni kuwafanya wakae kimya. Maslahi yao lazima wayalinde pia.Tatizo.la Butiku,Warioba,Dk Salim wanaibudu zaidi CCM kisiasa wanaonakabisa mambo yakiharibika ila wanauma na kupuliza!.
Na Chama zamani walikiweza/walikimudu, lakini sasa chama kimewazidi umri, kimo na nguvu. Na wao sasa wanalia lia kama sisi.Walijali Chama kuliko Taifa. Sasa tunatumbukia shimoni sote.
Huu ushauri wako siyo sahihi hata kidogo.Mi naweza kumshauri apumzike kwa amani, taifa waliwapa watu ambao hawakustahili sasa wanaona shida yake, na imetoka hiyo.
Hii inaitwa mchuma jangaNa Chama zamani walikiweza/walikimudu, lakini sasa chama kimewazidi umri, kimo na nguvu. Na wao sasa wanalia lia kama sisi.
Waache watambe lakini Karma iko hai.Ushahidi wa wazi huu hapa,serikali ya CCM huwa inawafutia usajili mawakili wanaopigania haki za Watanzania
View attachment 2822828
Aseme ukweli kuwa tuna serikali ya hovyo imejaza majangili tupu kwenye systemMzee Joseph Butiku amesema watu wote wanaliopigania haki wamepata misukosuko kutokana na tabia za binadamu kutojali haki za wengine. Amesema kuwa haki za binadamu zina misukosuko kutokana na kwamba wapo wanaozitaka na wasiozitaka, ni tabia ya binadamu apate yeye, ukose wewe. Ameongeza kuwa ukishatengeneza Serikali na ukawapa watu nafasi , katika mfumo wa uchoyo uliokithiri mwingine atataka apate zaidi, wewe usipate.
Ameshauri kwamba Taifa lazima ling'ang'anie misingi iliyowekwa ya kupigania haki ili kuhakikisha haki hizo zinapatikana.
Tena wao ndiyo walitengeneza hii mifumo ya kipumbavuNa Chama zamani walikiweza/walikimudu, lakini sasa chama kimewazidi umri, kimo na nguvu. Na wao sasa wanalia lia kama sisi.
Kwa maoni yako ni kwamba unamfunga mdomo asiongee!Nayaona maomivu anayoyapata mzee Butiku lakini ajue waliowakabidhi nchii wanahesabu siku tu wazee wafariki wao waendelee kupiga.
Hawa wazee waliwahi kuwa na heshima sana, walikuwa wakisema wanasikika, leo wamebaki wametupwa hata matamasha hawapewi na hawaalikwi tena.
Mi naweza kumshauri apumzike kwa amani, taifa waliwapa watu ambao hawakustahili sasa wanaona shida yake, na imetoka hiyo.
Sasa polepole kakosea nini kuna tofauti ya kutetea viongozi wahuni na kutetea haki na wananchi .... wakili anatakiwa kutetea haki na wanachi dhidi ya wahuni ndicho polepole alicho sema..kwa sasa hivi serikali dhalimu ya samia inapambana dhidi ya haki na dhidi ya wananchi na mawakili wazalendo ndiyo wanaumizwa ....kwa sababu kwake sa100 uzalendo ni sawa na kinyesi...wamasai wana katwa koromeo na waarabu na vibaraka wao kisa ardhi yaoUshahidi wa wazi huu hapa,serikali ya CCM huwa inawafutia usajili mawakili wanaopigania haki za Watanzania
View attachment 2822828