Wanaendelea kulipwa na serikali ya CCMTatizo.la Butiku,Warioba,Dk Salim wanaibudu zaidi CCM kisiasa wanaonakabisa mambo yakiharibika ila wanauma na kupuliza!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaendelea kulipwa na serikali ya CCMTatizo.la Butiku,Warioba,Dk Salim wanaibudu zaidi CCM kisiasa wanaonakabisa mambo yakiharibika ila wanauma na kupuliza!.
Hapana simfungi mdomo, ila nasema kachelewa. Waliiona CCM na nchi vinapotea njia hawakusema, sasa tuko tusipo na tumekwama hata wakiongea hawasaidii.Kwa maoni yako ni kwamba unamfunga mdomo asiongee!
Umempiga vijembe mzee wa watu kiaina ilhali ametumia haki yake ya kikatiba.
Na wanapo lalama sijui huwa wanamlalamikia nani, au wana mwambia nani? Huko ccm hawana sauti tena, serikalini hawana sauti, wao ni kama sisi tu.Tena wao ndiyo walitengeneza hii mifumo ya kipumbavu
Sasa hawasikilizwi na yeyote, siyo CCM, Siyo Bunge wala Serikali. sasa wanaongea na nani au kelele wanampigia nani Siye? Bora wangekuwa na cha kupoteza labda wangesikilizwa, kwasasa ndiyo wanaonekana makapi kabisa.Huu ushauri wako siyo sahihi hata kidogo.
Maadam hawa wazee wapo mlangoni kuelekea kwingine, hawa ndio wanao takiwa kupiga kelele zaidi badala ya kupumzika unakowataka wafanye.
Hawa hawana chochote cha kupoteza.
Sasa hata kuuma hawana meno labda wapulize tu mwanzo mwisho, Hawana nguvu CCM, Bungeni wala Serikalini. Hawasikilizwi na yeyote. Wanajitutumua tu waonekane lakini waliishapotezwa.Tatizo.la Butiku,Warioba,Dk Salim wanaibudu zaidi CCM kisiasa wanaonakabisa mambo yakiharibika ila wanauma na kupuliza!.
Walidhani watabaki kwenye system mileleNa wanapo lalama sijui huwa wanamlalamikia nani, au wana mwambia nani? Huko ccm hawana sauti tena, serikalini hawana sauti, wao ni kama sisi tu.
Hwana mamlaka kukanya, kubadili au kuzuia, sasa kwanini wajichoshe bila sababu.
Hawaendi bungeni, hawanasauti kule CCM wala Serikalini.
Kelele watupigie siye. Hilo ndilo la muhimu zaidi kuliko mengine yote uliyo yataja.Sasa hawasikilizwi na yeyote, siyo CCM, Siyo Bunge wala Serikali. sasa wanaongea na nani au kelele wanampigia nani Siye?
Bora wangekuwa na cha kupoteza labda wangesikilizwa, kwasasa ndiyo wanaonekana makapi kabisa.
Mzee wetu butiku yupo sahihi ila ni kauli wasioipenda uvccm, cz wao huamin wapigania haki wanatumiwa na mabeberu 🤣🤣Mzee Joseph Butiku amesema watu wote wanaliopigania haki wamepata misukosuko kutokana na tabia za binadamu kutojali haki za wengine. Amesema kuwa haki za binadamu zina misukosuko kutokana na kwamba wapo wanaozitaka na wasiozitaka, ni tabia ya binadamu apate yeye, ukose wewe. Ameongeza kuwa ukishatengeneza Serikali na ukawapa watu nafasi , katika mfumo wa uchoyo uliokithiri mwingine atataka apate zaidi, wewe usipate.
Ameshauri kwamba Taifa lazima ling'ang'anie misingi iliyowekwa ya kupigania haki ili kuhakikisha haki hizo zinapatikana.
View attachment 2822949
Ni upofu tulionao wengi. Ukiwa ofisini huwa unasahau kwamba umri nao uongezeka, na kuna kustaafu.Walidhani watabaki kwenye system milele
Ndiyo ujinga wa watanzania wengiNi upofu tulionao wengi. Ukiwa ofisini huwa unasahau kwamba umri nao uongezeka, na kuna kustaafu.