Mzee Carter (Lil Wayne) na binti ake...

GIRITA

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
4,432
Reaction score
5,864
Katika kusherekea siku ya kuzaliwa mtoto mkubwa wa mzee Wayne alipiga mapigo ya kina Miss Eliot, Eve na Queen Latifa mitindo pendwa ya mavazi miaka ya 1990-2005 huko.



Mzee carter anamlea binti yake kwa maadili mema sana kupita kiasi,usiulize maswala ya widi na usela nondo wake wewe elewa ana malezi bora sana kwa wanae, anajumla ya watoto wa tano ambao ni Reginae Carter, Cameron Carter, Dwayne Carter III na Neal Carter.
 
Sijawahi angushwa na product za bangi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. huyo mtoto unanyonya hako kakitovu uku unapanda juu juu hadi kwenye nyonyo hilo unapita mitaa ya shingo hadi kwenye kaulimi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Dah...noma sana mkali.
 
Kama ulikuwa hujui tofauti ya mzee carter na binti yake mpendwa first born ni miaka 16,mzee carter ana umri wa miaka 38 na binti ake ana umri wa miaka 22 tu.
maana yake mshua alipata mwana akiwa na umri wa miaka 16......wewe na mimi tuna miaka 25+ hatumiliki hata mimba tusilaumu sana ni mipango ya Mungu one day yes.
 
huwezi amini kuna mtu atalaumu serikali tu kweli hili jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…