Mzee Carter (Lil Wayne) na binti ake...

Mzee Carter (Lil Wayne) na binti ake...

Jamaa alikuwa na program YouTube ya ku-interview watu mbalimbali siku za karibuni, siku hizi sioni updates.
 
Katika kusherekea siku ya kuzaliwa mtoto mkubwa wa mzee wyne alipiga mapigo ya kina miss eliot ,eve na queen latifa,mitindo pendwa ya mavazi miaka ya 1990-2005 huko.

View attachment 1649056
Mzee carter anamlea binti yake kwa maadili mema sana kupita kiasi,usiulize maswala ya widi na usela nondo wake wewe elewa ana malezi bora sana kwa wanae, anajumla ya watoto wa tano,
Reginae carter,cameron carter,dwayne carter III na neal carter.
Sasa sisi inatuhusu nini?
 
Sasa mbona Kama analingana na baba ake🙄
hawalingani sema weezy alizaa mapema sana akiwa na umri wa miaka 16 ndio alimpata huyo binti yake Reginae
mwaka 1998...tofauti ya umri wao ni miaka 16 tu,wayne ana miaka 38 huku mwane akiwa na miaka 22.
 
Huyu mjomba alikuwa anatafuta Kiki kupitia Trump watu wakampotezea
 
Back
Top Bottom