Huwa namkubali pia mgosi mkoloni kwenye malalamiko
Mwenye kumfahamu vizuri uyu Mzee Chapuo anayetangaza ndani ya kipindi cha Maskani Times Fm kinachoongozwa na Kapt Gadna G Habash atufahamishe.
Nimemsikia juzi na leo kwenye kipindi,naweza kusema uyu mtu ni kichwa haswa,na 'star' mpya kwenye game ya utangazaji wa 'ucheshi' lakini ameibuka ghafla mno binafsi sijui lolote kuhusu background yake,na uzoefu wake kwenye hii tasnia.mwenye kumfahamu atujuze haswa mimi binafsi ambaye nimetokea kumkubal
Nb:ukiona matumbo kamkubali mtu, ujue uyo mtu ni mkali haswa.
Huyu ni Chapuo Chepeo Chap Chap Mla Chake wa late 80s ...alikuwa Kenya, enzi hizo tuliangalia sana vichekesho vyake. Hapo bado TZ hakuna mitambo, lazima uwe na ariel ndeeefu kuona Kenya na ZnZ kama hutaki chenga zitawaleMzee chapuo ni mchekeshaji wa sikunyingi wa KBC Nairobi... Enzi hizo miaka ya 90's walikua na kipindi chao kinaitwa Janja na janjaule...
Huyu ni Chapuo Chepeo Chap Chap Mla Chake wa late 80s ...alikuwa Kenya, enzi hizo tuliangalia sana vichekesho vyake. Hapo bado TZ hakuna mitambo, lazima uwe na ariel ndeeefu kuona Kenya na ZnZ kama hutaki chenga zitawale
yap nimekusoma..kumbe wa kitambo.sasa mbona hana lafudhi ya kikenya?
kipindi
ni
muda
gan?naomba
mnifahamishe.
mkuu kwani we haujamskia bado uyu Mzee??tafuta muda siku moja jioni umskie,mimi binafsi kanikosha sana.niliacha kuskiliza redio za kibongo ila kanirudisha kwa ss nikitoka mitkas nikiwa foleni lazma nimtafute nimskie.
Mwenye kumfahamu vizuri uyu Mzee Chapuo anayetangaza ndani ya kipindi cha Maskani Times Fm kinachoongozwa na Kapt Gadna G Habash atufahamishe.
Nimemsikia juzi na leo kwenye kipindi,naweza kusema uyu mtu ni kichwa haswa,na 'star' mpya kwenye game ya utangazaji wa 'ucheshi' lakini ameibuka ghafla mno binafsi sijui lolote kuhusu background yake,na uzoefu wake kwenye hii tasnia.mwenye kumfahamu atujuze haswa mimi binafsi ambaye nimetokea kumkubali.
Nb:ukiona matumbo kamkubali mtu, ujue uyo mtu ni mkali haswa.