Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 450
- 3,368
Mzee maarufu kwenye mitandao ya kijamii ambaye pia mapema wiki hii alijisajili TRA ili aanze kulipa kodi kwa kazi yake ya Sanaa, Clemence Mwandambo anadaiwa kutekwa usiku wa kuamkia leo, Novemba 22, 2025 na watu wenye silaha nzito za moto waliojitambulisha kuwa ni Polisi.
Tukio hili limetokea nyumbani kwake karibu na hospitali ya rufaa Mbeya, ambapo alitupwa kwenye gari kisha watu hao wakatokomea naye kusikojulikana.
Pia soma Jeshi la Polisi Mbeya lakiri kumshkilia Clemence Mwandambo kwa tuhuma za kijinai