PostGE2025 Mzee Clemence Mwandambo adaiwa kutekwa usiku wa kuamkia leo, Novemba 22, 2025

PostGE2025 Mzee Clemence Mwandambo adaiwa kutekwa usiku wa kuamkia leo, Novemba 22, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kunauzi ulitolewa hapa junior kati kuhusu huyu mzee walikuwa wanasisitiza awe makini, sasa nimeamini hapa jf ni habari zenye uhakika
 
Kuna wakati nahisi ukute bi mkubwa Wala hana tabu na mtu,ila Kuna kikundi ndani ya mfumo wanafanya yote haya ili kumvuruga..
 
Last kick of a dying horse... Sa100 mwisho wako umekaribia
 
Tanzania ya Samuya haina tofauti na Colombia ile ya kina Escobar
Ukisikia gangster state ndo hii. Haiti vijana waliamua kujilinda huko polis ujinga kama huu hawafanyi yaan watachezea mtutu mpaka waseme nimekomaaa mm polisccm
 
Kuna clip anapondea muungano kwenye huo uchekeshaji,nilijua tu katikisa meza yenye vinywaji bei juu.😁
Ivi mkuu kwanini mtu akigusia muungano tu awaye yeyote anakua kaziweka kende zake rehani??
 
Huyo mzee alikengeuka sana. Mara kakashifu dini za watu hasa RC. Mara karopoka mambo ya wasanii. Kwa ajili ya kupata followers wengi na vimatangazo kajikuta anaweza kuongea siasa kama akina Gwajima.

Muache akachoshwe sana
mimi nilijua yupo Sweeden huko vijijini
 
Huyo mzee alikengeuka sana. Mara kakashifu dini za watu hasa RC. Mara karopoka mambo ya wasanii. Kwa ajili ya kupata followers wengi na vimatangazo kajikuta anaweza kuongea siasa kama akina Gwajima.

Muache akachoshwe sana
Vipi D9 mimi kwasababu na kufahamu tutaonana
 
Huyo mzee alikengeuka sana. Mara kakashifu dini za watu hasa RC. Mara karopoka mambo ya wasanii. Kwa ajili ya kupata followers wengi na vimatangazo kajikuta anaweza kuongea siasa kama akina Gwajima.

Muache akachoshwe sana
Mzee alikua anagusa kotekote...ila hawatamuua..hilo nina uhakika
 
Lilikuwa ni suala la muda tuu, kama ambavyo ni suala la muda huu utawala kufikia mwisho.
 
Back
Top Bottom