BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Huyu dingi nilijua tu lazima wampitie
Yule wa kukata vichwa anadunda tu kitaa
Hii nchi hutakiwi hata kutoa ushaur au kukosoa
Nchi ya kusifia na uchawa tu
Huyo dingi pengine tusimuone tena
Anyway 9dec...
Yule wa kukata vichwa anadunda tu kitaa
Hii nchi hutakiwi hata kutoa ushaur au kukosoa
Nchi ya kusifia na uchawa tu
Huyo dingi pengine tusimuone tena
Anyway 9dec...