Duh,Mzee maarufu kwenye mitandao ya kijamii ambaye pia mapema wiki hii alijisajiri TRA ili aanze kulipa kodi kwa kazi yake ya Sanaa, Clemence Mwandambo amedaiwa kutekwa usiku wa kuamkia leo, Novemba 22, 2025 na watu wenye silaha nzito za moto waliojitambulisha kuwa ni Polisi.
Tukio hili limetokea kwake karibu na hospitali ya rufaa Mbeya, ambapo alitupwa kwenye gari kisha watu hao wakatokomea naye kusikojulikana.
View attachment 3505656
View attachment 3505657
Hili ni genge la wahalifu lenye kibali cha kufanya huo uhalifu wao kwa raia. Nasubiria muda wa raia nao kuanza kujitetea kwa vitendo dhidi ya huu utekaji unaofanywa na hawa wahuni.Kazi ya Upolisi ni laana hapa Tanzania.
Ndo muumalizie basi na siyo kuwa nyuma ya keyboardHuu utawala umeshafika mwisho
Ingekuwa vizuri zaidi kama ungeandika ''It is just a matter of foolishness''. Hawajiulizi kwa nini wanateka kila siku lakini watu hawaogopi? mean Samia kazungukwa na watu wapumbavu kweli kweli. Mmi sina uzoefu wowote kwenye uongozi lakini ungeniambia nimshauri nina uhakika ningekuja na njia nzuri sana ambazo zingefanya aonekane yeye ni rais bora kuliko wote waliowahi kutawala Tanzania.It was just a matter of time....!
Nachoka mm Babu yenu Clemence Mwandambo!