The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Katiba mpya ni muhimu Ili kuzuia kuja kupatikana kwa viongozi mataahira kama wa awamu ya 5..Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya , leo amefika kwenye Kikosi Kazi cha Rais cha kukusanya maoni yanayohusu Katiba Mpya , Ambapo Mzee huyo HAKUMUNG'UNYA MANENO , AMEWAPASULIA WAZI WAJUMBE WA KIKOSI KAZI HICHO KWAMBA KATIBA MPYA NI SASA HIVI .
Mzee Msuya amesema kwamba ifike wakati sasa tuhitimishe jambo hili ili tuendelee na mambo mengine , badala ya kila mwaka kuzungumzia jambo hilohilo tu.
Chanzo: Mwananchi.
Ujumbe: Kama hawa Wazee wamechoshwa na danadana hizi za akina Pinda na Mukandala, WEWE NI NANI HATA UPINGE KATIBA MPYA?
[emoji38][emoji38][emoji38]Katiba mpya ni muhimu Ili kuzuia kuja kupatikana kwa viongozi mataahira kama wa awamu ya 5..
Duh Wazee wamechafukwa.Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya , leo amefika kwenye Kikosi Kazi cha Rais cha kukusanya maoni yanayohusu Katiba Mpya , Ambapo Mzee huyo HAKUMUNG'UNYA MANENO , AMEWAPASULIA WAZI WAJUMBE WA KIKOSI KAZI HICHO KWAMBA KATIBA MPYA NI SASA HIVI .
Mzee Msuya amesema kwamba ifike wakati sasa tuhitimishe jambo hili ili tuendelee na mambo mengine , badala ya kila mwaka kuzungumzia jambo hilohilo tu.
Chanzo: Mwananchi.
Duh Wazee wamechafukwa.
Ngoja katiba mpya ije kwanza mengine baadayeHawa wazee wanatengeneza tu mambo yao ila kama bado ndio zama katu wasingetoa kauli kama hizi.
After all kamati hizi kwakweli ni kwa ajili ya watu fulani tu.
Sidhani kama wananchi wa kawaida wanashirikishwa?
Ila kwakweli bila elimu katiba mpya ni makaratasi yasiyokuwa na msaada wowote.
Kama mwananchi hatakuwa na elimu ya kumpa ufahamu basi atashindwa kumuwajibisha kiongozi wake kutimiza matakwa ya katiba.
Elimu kwanza katiba ifuate.
Pumbafu wewe, unafikiri urais wa awamu ya tano ulikuwa wa kuokota kama wa awamu ya 6? Katiba izuie urais wa kuokota.Katiba mpya ni muhimu Ili kuzuia kuja kupatikana kwa viongozi mataahira kama wa awamu ya 5..
Hawa wazee wakati wao hawakuitaka Katiba mpya. Sasa karibia wanaiaga dunia ndio wanaisemea Katiba. Hawa wazee hawa jamaniLooo Mzee Msuya naye he got his voice back, kweli tulikuwa tunapita kipindi cha giza, ushetani, ukatili etcetera
Alafu Zitto Kabwe na chawa wake kina Nondo,hawataki Katiba MPYA wao wanataka tume huru.Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya , leo amefika kwenye Kikosi Kazi cha Rais cha kukusanya maoni yanayohusu Katiba Mpya , Ambapo Mzee huyo HAKUMUNG'UNYA MANENO , AMEWAPASULIA WAZI WAJUMBE WA KIKOSI KAZI HICHO KWAMBA KATIBA MPYA NI SASA HIVI .
Mzee Msuya amesema kwamba ifike wakati sasa tuhitimishe jambo hili ili tuendelee na mambo mengine , badala ya kila mwaka kuzungumzia jambo hilohilo tu.
Chanzo: Mwananchi.
Ujumbe: Kama hawa Wazee wamechoshwa na danadana hizi za akina Pinda na Mukandala, WEWE NI NANI HATA UPINGE KATIBA MPYA?
Katiba isuie Urais wa mataahira,majizi na kuokota..Pumbafu wewe, unafikiri urais wa awamu ya tano ulikuwa wa kuokota kama wa awamu ya 6? Katiba izuie urais wa kuokota.
Uoga wa asili wa sisi watanzania, tumejaa unafiki mkubwa na tuna lalama tu kwenye hizi key board'sHawa wazee wakati wao hawakuitaka Katiba mpya. Sasa karibia wanaiaga dunia ndio wanaisemea Katiba. Hawa wazee hawa jamani
Kama Chadema ikitwaa madaraka mimi naweza kuwa Waziri wa fedha , siyo DCWw pia unataka chadema atawale wewe ulambe asali ya u DC
Weeeee !!!Katiba isuie Urais wa mataahira,majizi na kuokota..
Urais wa majizi nani anautaka fala wewe [emoji116]