Mzee Cleopa Msuya naye ataka Katiba Mpya

Mzee Cleopa Msuya naye ataka Katiba Mpya

Katiba mpya tutapata baada bi mkubwa kushinda muhula wake wamwisho hata kama nini Mimi ningefanya hivyo nimawazo yangu lakini
Hapatakuwa na uchaguzi wowote kabla ya Katiba mpya kupatikana 2026.

Ameeeen.
 
Hawa hawa ndo walikua wakisema nchi haina umuhimu wa katiba mpya zaidi ya madaraja na midege. Kwao material thing ilikua hitaji kuu la maisha kuliko vitu vya msingi kama katiba!!

Kwakua leo ni Samia wamebadili kauli... hii nchi itapona pale kizazi chote cha kijamaa kikipotea maana ujamaa uliwafanya watu wawe wanafiki, uliwafanya watu wawe mithili ya minyoo maana minyoo huwa yamwisho kufa so walijiona wanastahili uhai kuliko wengine mbele ya yule kichaa.
Sina la kuongeza.
 
Wakati mwingine maoni ya hawa vigogo wastaafu yanaangalia utashi wa rais anataka nini? Kama hataki katiba mpya na wao hawataki kusema kinyume na mwenyekiti wao wa chama ambaye pia ni rais. Haya maoni ni ya kinafiki tu wala hayana uhalisia
Na huo ndio ukweli wenyewe mchungu !! Hata Ndungai anaujua ukweli huo !! Mwenyekiti ndiye Mkuu wa Nchi na ndiye Commander in chief of the armed forces “ !! Acha mchezo kabisa !!
 
Ujumbe: Kama hawa wazee wamechoshwa na danadana hizi za akina pinda na mukandala, wewe ni nani hata upinge Katiba Mpya
Hata wao ni akina nani mpaka wayaseme leo walikuwa wapi miaka yote
 
Hapatakuwa na uchaguzi wowote kabla ya Katiba mpya kupatikana 2026.

Ameeeen.
Usitamke wewe mpaka sasa mambo yanaenda hata kunawatu hawakuridhika wenye nchi wakiamua mtachukia lakini tayari uchaguzi
 
Waziri Mkuu mstaafu Cleopa Msuya, leo amefika kwenye Kikosi Kazi cha Rais cha kukusanya maoni yanayohusu Katiba Mpya, ambapo mzee huyo hakumung'unya maneno, amewapasulia wazi wajumbe wa kikosi kazi hicho kwamba Katiba Mpya ni sasa hivi.

Mzee Msuya amesema kwamba ifike wakati sasa tuhitimishe jambo hili ili tuendelee na mambo mengine, badala ya kila mwaka kuzungumzia jambo hilohilo tu.

Chanzo: Mwananchi

Ujumbe: Kama hawa wazee wamechoshwa na danadana hizi za akina pinda na mukandala, wewe ni nani hata upinge Katiba Mpya
Karudia tena maneno haya akiwa katika kipindi cha Dakika 45 ITV hivyo mzee anamaanisha. Hawa wazee tukisema ndio hazina ya taifa tunamaanisha.
 
Ni kweli kabisa lakini huwa wanachelewa sana kutoa nasaha mpaka pale wanapojiona hawana tena cha kupoteza ndipo utakapoziona Busara zao !🙏🙏
Tunawashukuru japo wamechelewa , Better late than never
 
Hata wao ni akina nani mpaka wayaseme leo walikuwa wapi miaka yote
Hata Mwalimu Nyerere aliyaona mapungufu katika Katiba pale alipokuwa nje ya madaraka !! Na akaonya !! 🙏🙏
 
Back
Top Bottom