Mzee Cleopa Msuya: Suala la Katiba Mpya haliepukiki kwani Katiba siyo Jiwe au Amri ya Mungu

Waziri mkuu mstaafu mzee Msuya amesema suala la marekebisho ya Katiba haliepukiki kwa sababu katiba siyo Jiwe au Amri ya Mungu aliyeziumba mbingu na dunia.

-----
Alisema hayo katika mahojiano na Kipindi cha Dakika 45, kinachorushwa na runinga ya ITV kuhusu tathmini ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika mambo yaliyofanyika kipindi hicho na yaliyofanyika sasa.

"Katiba si kitu ambacho ni kama jiwe au kama amri ya Mungu, katiba ni kitu ambacho kitarekebishwa from time to time kulingana na mazingira yanayojitokeza," alisema.

Msuya alisema kwa msingi huo, marekebisho hayo ya katiba yatategemeana na makubaliano ya vyama au waliopo kwenye madaraka 'how to move' (namna ya kusonga mbele) na katiba iliyotengenezwa au watakuwa na mpangilio mwingine kwa kuondoa vile vitu wanavyoona havifai.

ASIFU HATUA YA JK
Alisema Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, alikwenda vizuri katika suala hili la katiba kwa kuunda Tume ya Jaji Warioba ambayo ilizunguka nchi nzima wakatengeneza mapendekezo na likaundwa Bunge Maalum la Katiba ambalo lilipendekeza Katiba Pendekezwa ambapo ilibaki stage (hatua) moja tu ya kuipitishwa na wananchi kwa kura ya maoni.

VYAMA VYA SIASA
Akizungumzia kuhusu demokrasia katika mfumo wa vyama vingi kwa siasa, Msuya alisema inashangaza kuona Tanzania kuna utitiri wa vyama kati ya 19 hadi 22 vilivyosajiliwa katika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini.

"Sasa unajiuliza Tanzania hii demokrasia tunaiyotafuta kwenye vyama 22 ni nini hasa, wakati bado tuna sehemu ambazo watu wana njaa, bado tuna sehemu ambazo wabunge wanaomba barabara zijengwe, hivi kweli seriously unasema tuna haja ya vyama vingi?" Alihoji.

Msuya alisema demokrasia anayoiona isiwe na utititri wa vyama vingi vya siasa bali kutafutwe njia ya kuwa na vyama vichache kama vitatu au vinne na isiwe kulazimisha bali wananchi waulizwe kwa kupiga kura na mwisho wa matokeo ya kura utakuta kuna vyama ambavyo hawavitaki.

"Kuna vyama katika hivi 22 kwenye uchaguzi havikupata hata kura 1,000, nchi nyingine wanachokifanya ni kuwa vile ambavyo havikufikia kiwango fulani wanavifuta na kubakia vile ambavyo kiasi fulani vinakubalika," alisema, ambaye alikuwa waziri mkuu katika uongozi wa Mwalimu Julius Nyerere na Ali Hassan Mwinyi.

Msuya alisema kimsingi si vizuri kuwa na chama kimoja tu cha siasa, maana watu wakikaa na chama kimoja wanaweza wakajisahau, hivyo kunahitajika watu ambao wanapiga kelele wanapoona watawala au chama wanaficha madhambi yanayotendeka katika system (mfumo).

"Mimi nakubali mfumo wa vyama vingi uendelee kuwapo, lakini vyama visiwe vingi kiasi hicho, na sasa hivi mtu akishaitwa mwanasiasa anazungumza hata mambo ya uongo, lakini lile lengo la kusaidia serikali inayokuwapo madarakani halipo, wanataka tu wao waingie," alisema.

Aliongeza kuwa kule ambako tumefungua milango kwenye utitiri wa vyama na utitiri wa wanasiasa imekuwa ni shida, inahitaji kuwa na vyama vichache kwani si wengi wanaoelewa dhana ya kuwa na vyama vingi na wanaweza kuwa serikali mbadala kwa kuchunguza makosa ambayo yanafanywa na serikali iliyopo.

Msuya alisema mataifa kama Ujerumani, Korea Kusini, Japan, Malaysia na Singapore yameweza kupiga hatua haraka kimaendeleo kutokana na ushirikishaji wa wananchi katika maendeleo, lakini si kwa kuwa na utitiri wa vyama.

Aidha, alisema Tanzania ina uhuru sana wa watu kujieleza, lakini shida iliyopo ni baadhi ya watu wenye kutoa manung'uniko kuvuka mipaka na hata baadhi ya watumishi wa serikali wa vyombo vya dola kuna wakati wanazidisha udhibiti wa hali hiyo.

RUSHWA
Msuya akizungumzia kuhusu rushwa, alisema bado ipo sana na hii imetokana na mfumo wa sasa wa kupata viongozi wa njia ya kuchaguliwa kupigiwa kura.

"Suala la rushwa linachanganya sana, zamani kabla hatujaleta mambo ya viongozi wa kuchaguliwa tulikuwa na mfumo wa machifu ambao walikuwa wanatozana tozana wanakula katika maeneo yao," alisema.

Alisema baada ya kufuta mfumo huo na kuja na utaratibu wa kuchagua watu mpaka mwenyekiti wa kijiji na kitongoji anachaguliwa na anataka kila kipindi apigiwe kura, anajenga utaratibu wa kununua watu ili wamchague.

"Utitiri wa vyama nao umeongeza kuwepo kwa rushwa, kwani ili ugombee udiwani au ubunge unalazimika uzunguke huku na kule na wanatumia pesa kuhonga wapigakura maana wanajua nini watakwenda kukipata wakishachaguliwa," alisema.

Alisema ili kukomesha tatizo hilo kunahitajika kuwa na judiciary system (mfumo wa kimahakama) na investigations system (mfumo wa uchunguzi) ambayo itakuwa inafanya uchunguzi haraka na wahusika wanachukuliwa hatua. Aliyolea mfano kwa Singapore kuwa wanafanya hivyo na wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kukomesha rushwa.

Chanzo: Nipashe
kama katiba inakuja, ije ile ya tume ya warioba, ambayo ndani yake kuna zanzibar na tanganyika, ili muungano uvunjike kabisa, manake ndo wanachotaka hawa wazee.
 
Kwahiyo ana kili kwamba kuna chama kimoja kwa sasa?
 
Wazee wote waliodhani Wana hati miliki ya nchi wao na watoto wao na familia zao wakiona watoto au familia zao hawako kwenye uongozi wa juu Wana kelele hasa kuanzia familia ya Nyerere ,akina warioba,akina akina Msuya ,akina Karume ,mzee kinana ,mzee Makamba nk

Mikelele yote hiyo kwenye awamu yeyote wanachobweka Ni kutaka familia zao wawemo juu serikalini

Watoto zao au wanafamilia wakipewa mivyeo wanaufyata

Nchi hii Hawa vikongwe nao sio wa kuwaamini Sana hiyo wanaita katiba mbovu waliinyamazia kimya wakila kuku kwa mrija wanataka vizazi vyao viendelee Mama Samia Mimi Kuna Mengi huwa nakukosoa lakini Hawa vikongwe wasikupelekeshe kutaka Koo zao zote zijae bungeni na serikali ni vyeo vya juu Ni unfair

Kikwete Mwanae Mbunge ,mkewe mbunge no huwezi kuona Kuna kelele kipindi Cha Magufuli

Hao wanalia Lia wanadhani Wana hati miliki ya utawala kwenye nchi

Mama Samia jiongeze.Wakipiga Mikelele si lazima ufanye watakavyo watakuyumbisha hao
Na wewe mikelele yako inatokana na nini?
 
Now wanaongea sababu hawana chakupoteza ...tunataka kumsikia Mkwere nae

Mkwere ndiye aliyeharibu utaratibu wote ama sivyo wakati huu ile katiba iliyopendekezwa ndio ingekuwa inatumika!!! Aliogopa kufikishwa mbele ya PILATO kama rafiki yake Zuma kule bondeni!!!
 
Suala la Katiba alianza kuliona Nyerere, yeye Msuya akiwa kiongozi mkubwa awamu ya pili na ya tatu.... alichukua hatua gani kuhakikisha watanzania wanakuwa salama?...

Utagundua Mzee nay ni mnafiki tu kama wanafiki wengine, utagundua pia hata Makonda alikuwa sahihi kumtandika vibao Warrioba.... Mateso yote wanayopitia watanzania kwasasa ni msingi mbovu na dhaifu ulioachwa na hawa wazee huko nyuma..
Waungwana husema, better late than never
 
Waziri mkuu mstaafu mzee Msuya amesema suala la marekebisho ya Katiba haliepukiki kwa sababu katiba siyo Jiwe au Amri ya Mungu aliyeziumba mbingu na dunia.

-----
Alisema hayo katika mahojiano na Kipindi cha Dakika 45, kinachorushwa na runinga ya ITV kuhusu tathmini ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika mambo yaliyofanyika kipindi hicho na yaliyofanyika sasa.

"Katiba si kitu ambacho ni kama jiwe au kama amri ya Mungu, katiba ni kitu ambacho kitarekebishwa from time to time kulingana na mazingira yanayojitokeza," alisema.

Msuya alisema kwa msingi huo, marekebisho hayo ya katiba yatategemeana na makubaliano ya vyama au waliopo kwenye madaraka 'how to move' (namna ya kusonga mbele) na katiba iliyotengenezwa au watakuwa na mpangilio mwingine kwa kuondoa vile vitu wanavyoona havifai.

ASIFU HATUA YA JK
Alisema Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, alikwenda vizuri katika suala hili la katiba kwa kuunda Tume ya Jaji Warioba ambayo ilizunguka nchi nzima wakatengeneza mapendekezo na likaundwa Bunge Maalum la Katiba ambalo lilipendekeza Katiba Pendekezwa ambapo ilibaki stage (hatua) moja tu ya kuipitishwa na wananchi kwa kura ya maoni.

VYAMA VYA SIASA
Akizungumzia kuhusu demokrasia katika mfumo wa vyama vingi kwa siasa, Msuya alisema inashangaza kuona Tanzania kuna utitiri wa vyama kati ya 19 hadi 22 vilivyosajiliwa katika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini.

"Sasa unajiuliza Tanzania hii demokrasia tunaiyotafuta kwenye vyama 22 ni nini hasa, wakati bado tuna sehemu ambazo watu wana njaa, bado tuna sehemu ambazo wabunge wanaomba barabara zijengwe, hivi kweli seriously unasema tuna haja ya vyama vingi?" Alihoji.

Msuya alisema demokrasia anayoiona isiwe na utititri wa vyama vingi vya siasa bali kutafutwe njia ya kuwa na vyama vichache kama vitatu au vinne na isiwe kulazimisha bali wananchi waulizwe kwa kupiga kura na mwisho wa matokeo ya kura utakuta kuna vyama ambavyo hawavitaki.

"Kuna vyama katika hivi 22 kwenye uchaguzi havikupata hata kura 1,000, nchi nyingine wanachokifanya ni kuwa vile ambavyo havikufikia kiwango fulani wanavifuta na kubakia vile ambavyo kiasi fulani vinakubalika," alisema, ambaye alikuwa waziri mkuu katika uongozi wa Mwalimu Julius Nyerere na Ali Hassan Mwinyi.

Msuya alisema kimsingi si vizuri kuwa na chama kimoja tu cha siasa, maana watu wakikaa na chama kimoja wanaweza wakajisahau, hivyo kunahitajika watu ambao wanapiga kelele wanapoona watawala au chama wanaficha madhambi yanayotendeka katika system (mfumo).

"Mimi nakubali mfumo wa vyama vingi uendelee kuwapo, lakini vyama visiwe vingi kiasi hicho, na sasa hivi mtu akishaitwa mwanasiasa anazungumza hata mambo ya uongo, lakini lile lengo la kusaidia serikali inayokuwapo madarakani halipo, wanataka tu wao waingie," alisema.

Aliongeza kuwa kule ambako tumefungua milango kwenye utitiri wa vyama na utitiri wa wanasiasa imekuwa ni shida, inahitaji kuwa na vyama vichache kwani si wengi wanaoelewa dhana ya kuwa na vyama vingi na wanaweza kuwa serikali mbadala kwa kuchunguza makosa ambayo yanafanywa na serikali iliyopo.

Msuya alisema mataifa kama Ujerumani, Korea Kusini, Japan, Malaysia na Singapore yameweza kupiga hatua haraka kimaendeleo kutokana na ushirikishaji wa wananchi katika maendeleo, lakini si kwa kuwa na utitiri wa vyama.

Aidha, alisema Tanzania ina uhuru sana wa watu kujieleza, lakini shida iliyopo ni baadhi ya watu wenye kutoa manung'uniko kuvuka mipaka na hata baadhi ya watumishi wa serikali wa vyombo vya dola kuna wakati wanazidisha udhibiti wa hali hiyo.

RUSHWA
Msuya akizungumzia kuhusu rushwa, alisema bado ipo sana na hii imetokana na mfumo wa sasa wa kupata viongozi wa njia ya kuchaguliwa kupigiwa kura.

"Suala la rushwa linachanganya sana, zamani kabla hatujaleta mambo ya viongozi wa kuchaguliwa tulikuwa na mfumo wa machifu ambao walikuwa wanatozana tozana wanakula katika maeneo yao," alisema.

Alisema baada ya kufuta mfumo huo na kuja na utaratibu wa kuchagua watu mpaka mwenyekiti wa kijiji na kitongoji anachaguliwa na anataka kila kipindi apigiwe kura, anajenga utaratibu wa kununua watu ili wamchague.

"Utitiri wa vyama nao umeongeza kuwepo kwa rushwa, kwani ili ugombee udiwani au ubunge unalazimika uzunguke huku na kule na wanatumia pesa kuhonga wapigakura maana wanajua nini watakwenda kukipata wakishachaguliwa," alisema.

Alisema ili kukomesha tatizo hilo kunahitajika kuwa na judiciary system (mfumo wa kimahakama) na investigations system (mfumo wa uchunguzi) ambayo itakuwa inafanya uchunguzi haraka na wahusika wanachukuliwa hatua. Aliyolea mfano kwa Singapore kuwa wanafanya hivyo na wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kukomesha rushwa.

Chanzo: Nipashe
Kitu ambacho nashindwa kukielewa ni pale CCM wanaposhindwa kumalizia mchakato waliouanzisha wao wenyewe.

Walau ningewaelewa kama wangekomaa na katiba waliyoipitisha wao wenyewe kwenye Bunge la katiba Ingemake some sense. Sasa wanaposhindwa kufanya hivyo ni kama vile wanaogopa Kinyago walichokichonga wao wenyewe.
 
Tusione turubai nyumbani kwake kesho , maana mashetani yanafahamika
 
Sijui kwa nini Ccm inaogopa katiba mpya kiasi hiki? Na sioni dalili za ustadhat a?kuafiki kuendelea kwa mchakato wa katiba mpya!
 
Na wewe mikelele yako inatokana na nini?
Mimi sijawahi jikomba kwa yeyote awe magufuli au Yeyote nasimamia ukweli tu

Mzee Makamba kipindi Cha Magufuli alimponda Sana Magufuli kipindi Cha Kikwete hakumponda sababu alimpa mwanawe uwaziri

Magufuli kumpiga chini Makamba mzee akawaka

msuya pia mwanawe alipopewa uwaziri hakufoka kipindi Cha Kikwete Magufuli na Samia kuingia anafoka hasa yote njaa mwanae akumbukwe

warioba pia mwanae Kipi warioba alipopewa madaraka kelele za katiba mpya akaufyata mwanawe kupigwa chini kaibuka kelele kibao

Mama Maria Nyerere naye na familia yake walimbwatukia Magufuli kuwasahau mama Samia akaona isiwe kesi kaamua ampe ukuu wa Mkoa wa Manyara Chapombe mvuta bangi Makongoro Nyerere kelele zimeisha Karume Hadi kesho mikelele kibao abacholilia sio katiba Ni wanae walau wapate post wakati kazakisha mivuta bangi

Viongozi wa juu pekee ambao wamezaa watoto waliotulia material wasio na makando kando Ni Raisi msataafu Mzee Mwinyi pekee wa pili mzee Mkapa the rest hopeless akiwemo Nyerere

Hawa vikongwe hawana uzalendo wowote ni kuta tu familia zao ziweko kwenye utawala
 
Nakumbuka ile kauli tutanunua ndege ya raisi hata kama watz watakula nyasi na kila mtu ata beba msalaba wake!
 
aliyesema tutakula nyasi, sasaivi hayupo, tuachane naye. ila kama wanaleta katiba, ile ya warioba ilikula hela nyingi sana za nchi, na ni nzuri tu, tena inaweka serikali tatu na mipaka yake, waweke hiyo kama wajanja. ili tuheshimiane na wazenji.
 
Utitiri huu wa vyama hauna afya.....vingebaki 3 ama 4 tu......

SIEMPRE JMT
 
Wazee wetu wastaafu asanteni sana kwa kujitokeza kuokoa nchi yetu, ni ninyi tu mliobakia, bado naamini Mzee Mwinyi pia yuko na sisi upande wetu .

Ona tunaibiwa kweupe kila mtu kimya, 30 million Dollars zetu zimekwenda hivi hivi na huu ndio mwanzo tu wa wizi.
Huyu mzee si ndie aliyesema kila mtu abebe msalaba wake na pia kuna mzee mwingine alisema mwende kuzimu pale walipolalamikia tatizo la usafiri wa treni na huyu mzee alisema kila mtu abebe msalaba wake watu walipolalamika kupanda kwa bei za bidhaa, leo hii anajifanya kutaka katiba
 
Utitiri huu wa vyama hauna afya.....vingebaki 3 ama 4 tu......

SIEMPRE JMT
vyama vinatakiwa walau vizidi 10, hapo itakuwa safi sana. unajua kwasasaivi mfano kina polepole na wengine wanatamani wangefanya sapraizi ya kuhamia chama kingine dakika za mwisho lakini chama hakipo, ili adabu iwepo, vinatakiwa viwepo vya kutosha ili manguruwe yakitafunana wenyewe kwa wenyewe (mafisadi) basi wasambaratishane kwenye vyama vingine nje ya hivi vilivyopo. sasaivi chadema hakuna kitu, act ndo kabisa, chama pekee kilichopo ni ccm tu na hakitakuja kudondoshwa kama chama kingine kipya zaidi ya hivyo hakitaundwa, tena na watu wenye akili.
 
Mimi sijawahi jikomba kwa yeyote awe magufuli au Yeyote nasimamia ukweli tu

Mzee Makamba kipindi Cha Magufuli alimponda Sana Magufuli kipindi Cha Kikwete hakumponda sababu alimpa mwanawe uwaziri

Magufuli kumpiga chini Makamba mzee akawaka

msuya pia mwanawe alipopewa uwaziri hakufoka kipindi Cha Kikwete Magufuli na Samia kuingia anafoka hasa yote njaa mwanae akumbukwe

warioba pia mwanae Kipi warioba alipopewa madaraka kelele za katiba mpya akaufyata mwanawe kupigwa chini kaibuka kelele kibao

Mama Maria Nyerere naye na familia yake walimbwatukia Magufuli kuwasahau mama Samia akaona isiwe kesi kaamua ampe ukuu wa Mkoa wa Manyara Chapombe mvuta bangi Makongoro Nyerere kelele zimeisha Karume Hadi kesho mikelele kibao abacholilia sio katiba Ni wanae walau wapate post wakati kazakisha mivuta bangi

Viongozi wa juu pekee ambao wamezaa watoto waliotulia material wasio na makando kando Ni Raisi msataafu Mzee Mwinyi pekee wa pili mzee Mkapa the rest hopeless akiwemo Nyerere

Hawa vikongwe hawana uzalendo wowote ni kuta tu familia zao ziweko kwenye utawala
Unawalaumu kupita kiasi wazee waliolitumikia taifa hili kwa uzalendo mkubwa........

Mathalani umemtaja mzee Amani Karume kuna naye anataka mwanaye/wanawe wapewe "ulaji" wa uongozi......kinyume na UHALISIA kwani WAKILI FATMA KARUME si mwenzetu kiitikadi.....yeye anajulikana vyema kuwa ni ACT Wazalendo.........

Japo simuungi mkono mh.mzee Msuya kuhusu katiba mpya.....ila si heshima KUWASHAMBULIA kuliko vuka mipaka na kuwachafua kiasi hicho.......

#SIEMPRE JMT
#NCHI KWANZA
#SERIKALI MBILI ZA JMT DAIMA
#TAIFA NI PAMOJA NA VIONGOZI WETU WASTAAFU
 
Back
Top Bottom