Mzee Cleopa Msuya: Suala la Katiba Mpya haliepukiki kwani Katiba siyo Jiwe au Amri ya Mungu

Mzee Cleopa Msuya: Suala la Katiba Mpya haliepukiki kwani Katiba siyo Jiwe au Amri ya Mungu

Mimi sijawahi jikomba kwa yeyote awe magufuli au Yeyote nasimamia ukweli tu

Mzee Makamba kipindi Cha Magufuli alimponda Sana Magufuli kipindi Cha Kikwete hakumponda sababu alimpa mwanawe uwaziri

Magufuli kumpiga chini Makamba mzee akawaka

msuya pia mwanawe alipopewa uwaziri hakufoka kipindi Cha Kikwete Magufuli na Samia kuingia anafoka hasa yote njaa mwanae akumbukwe

warioba pia mwanae Kipi warioba alipopewa madaraka kelele za katiba mpya akaufyata mwanawe kupigwa chini kaibuka kelele kibao

Mama Maria Nyerere naye na familia yake walimbwatukia Magufuli kuwasahau mama Samia akaona isiwe kesi kaamua ampe ukuu wa Mkoa wa Manyara Chapombe mvuta bangi Makongoro Nyerere kelele zimeisha Karume Hadi kesho mikelele kibao abacholilia sio katiba Ni wanae walau wapate post wakati kazakisha mivuta bangi

Viongozi wa juu pekee ambao wamezaa watoto waliotulia material wasio na makando kando Ni Raisi msataafu Mzee Mwinyi pekee wa pili mzee Mkapa the rest hopeless akiwemo Nyerere

Hawa vikongwe hawana uzalendo wowote ni kuta tu familia zao ziweko kwenye utawala
Hivi nyie mkiwa ccm akili huwa mnaweka wapi? kwahiyo Kosa la Mzee Msuya ni kudai katiba Mpya? Iwe mwanaye kateuliwa au la Kitendo cha kusuggest katiba mpya ambayo ndio hitaji la sasa na wakati ni ukweli mtu licha ya hoja zako.
 
vyama vinatakiwa walau vizidi 10, hapo itakuwa safi sana. unajua kwasasaivi mfano kina polepole na wengine wanatamani wangefanya sapraizi ya kuhamia chama kingine dakika za mwisho lakini chama hakipo, ili adabu iwepo, vinatakiwa viwepo vya kutosha ili manguruwe yakitafunana wenyewe kwa wenyewe (mafisadi) basi wasambaratishane kwenye vyama vingine nje ya hivi vilivyopo. sasaivi chadema hakuna kitu, act ndo kabisa, chama pekee kilichopo ni ccm tu na hakitakuja kudondoshwa kama chama kingine kipya zaidi ya hivyo hakitaundwa, tena na watu wenye akili.
Chadema hakipo? kamuulize magufuli atakwambia kilimfanya nini.
 
Katiba mpya tutaipata wanaichelewesha ili waibe vizuri lkn tutawajumua jumlajumla nahiyo katiba mpya
 
Unawalaumu kupita kiasi wazee waliolitumikia taifa hili kwa uzalendo mkubwa........

Mathalani umemtaja mzee Amani Karume kuna naye anataka mwanaye/wanawe wapewe "ulaji" wa uongozi......kinyume na UHALISIA kwani WAKILI FATMA KARUME si mwenzetu kiitikadi.....yeye anajulikana vyema kuwa ni ACT Wazalendo.........

Japo simuungi mkono mh.mzee Msuya kuhusu katiba mpya.....ila si heshima KUWASHAMBULIA kuliko vuka mipaka na kuwachafua kiasi hicho.......

#SIEMPRE JMT
#NCHI KWANZA
#SERIKALI MBILI ZA JMT DAIMA
#TAIFA NI PAMOJA NA VIONGOZI WETU WASTAAFU
nilitaka kushangaa umuunge mkono katiba mpya ufe na njaa
 
Hata Nyerere Hakuwa mzalendo vyama vingi vilikuwepo wakati anashika nchi

Lakini aliposhika nchi akavipiga marufufuku ibaki Tanu tu watawale yeye na huyo Cleopa Msuya wake

Nyerere alipoondoka madarakani akaanza ngonyera ohh vyama vingi muhimu !!!! Mbona aliviua ? Unafiki.

Msuya kala mema ya nchi kwenye katiba iliyopo Sasa baada ya kustaafu anajitia ohh katiba iliyopo mbovu hivi vikongwe vinafiki baada ya kula mema ya nchi ndio Leo vinajua katiba mbovu baada ya kuondoka? Akiwemo warioba?

Watanzania tuvihoji hivi vikongwe kwa leo ndio mumejua katiba mbovu? Hamkujua wakati wenu?
 
nilitaka kushangaa umuunge mkono katiba mpya ufe na njaa
Duuuh 😲😲🤣🤣

Kwani hiyo katiba iliyopo ndiyo inayonipa riziki ya kuokota shilingi miamia na mia mbili za vikombe vya kahawa na tangawizi hapa dambweni kwangu ?!!!

SIEMPRE JMT
 
Msuya alisema kwa msingi huo, marekebisho hayo ya katiba yatategemeana na makubaliano ya vyama au waliopo kwenye madaraka 'how to move'
Hapa kachemka. Maekebisho ya katiba hayapaswi kufanywa na vyama bali wananchi
 
Kuna comment humu! dah hujui zinatoka kwenye akili za miaka ipi! Hawa wazee wastaaf kwa kifup hawana platform za kuyasema wanayoyasema sasa! Ni mpaka pale by accident atokee mwana habar amkumbuke ndo wanapata kusema haya! Tumuheshimu mzee msuya! Kwa kipindi chao walikuwa na aibu hata kama katiba kuna mahali ilivunjwa ilikuwa ngumu kugundua! Tofaut na haya ya sasa hiv katiba inachezewa mchana wa jua la utosi lkn wala hayajali ilimradi uvunjaji huo unaleta tija kwenye matumbo yao na familia zao! Wazee hao baadh wanaona hii sasa ni too much ndo maana wanakukuruka! Mzee kasema kweli tumuunge mkono sio kumsimanga na kumzushia mambo ya uongo! Ni mtoto gan wa msuya amewah kuwa waziri?
 
Suala la Katiba alianza kuliona Nyerere, yeye Msuya akiwa kiongozi mkubwa awamu ya pili na ya tatu.... alichukua hatua gani kuhakikisha watanzania wanakuwa salama?...

Utagundua Mzee nay ni mnafiki tu kama wanafiki wengine, utagundua pia hata Makonda alikuwa sahihi kumtandika vibao Warrioba.... Mateso yote wanayopitia watanzania kwasasa ni msingi mbovu na dhaifu ulioachwa na hawa wazee huko nyuma..
Ndugu,
Msuya na viongozi wengi waliyokuwapo tangu awamu ya kwanza sio wanafiki bali walijengwa kuwa wenye subra INAYOSTAHILI kwa mzazi. Tofauti na hii micharuko tuliyonayo sasa, hawa wakongwe wanapoona kama TAIFA twazidi kupotea, basi huja kwa kutumia fursa kama hizi kuuzungumza UKWELI. Che Nkapa aliandika hata kwenye kitabu chake.
Makonda sio shujaa kama unavyojaribu kumjenga, lakini amefanikiwa kujilaanisha kwa ukosefu MKUBWA wa adabu na kuja kujipa umungu mtu kupitia katiba hii hii. Wapo wengi wa aina yake wanafuatia. AMEN.
 
Ngoja waje UVCCM kumporomoshea mitusi mzee wa watu, kwamba Katiba mpya si ajenda ya CCM, kwa sasa ni ujenzi wa taifa kazi iendelee - sasa mzee anayetaka katiba mpya atoke CCM aende akajiunge na hao wapinga maendeleo mabarabarani.
 
ASIFU HATUA YA JK
Alisema Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, alikwenda vizuri katika suala hili la katiba kwa kuunda Tume ya Jaji Warioba ambayo ilizunguka nchi nzima wakatengeneza mapendekezo na likaundwa Bunge Maalum la Katiba ambalo lilipendekeza Katiba Pendekezwa ambapo ilibaki stage (hatua) moja tu ya kuipitishwa na wananchi kwa kura ya maoni.
Mabillion ya hela yakatumika - leo rasimu ipo kabatini inaliwa na mende.
 
"Sasa unajiuliza Tanzania hii demokrasia tunaiyotafuta kwenye vyama 22 ni nini hasa, wakati bado tuna sehemu ambazo watu wana njaa, bado tuna sehemu ambazo wabunge wanaomba barabara zijengwe, hivi kweli seriously unasema tuna haja ya vyama vingi?" Alihoji.
Mzee kati ya hivyo 22 vingine ni vyama vyetu !!
 
Hata Nyerere Hakuwa mzalendo vyama vingi vilikuwepo wakati anashika nchi

Lakini aliposhika nchi akavipiga marufufuku ibaki Tanu tu watawale yeye na huyo Cleopa Msuya wake

Nyerere alipoondoka madarakani akaanza ngonyera ohh vyama vingi muhimu !!!! Mbona aliviua ? Unafiki.

Msuya kala mema ya nchi kwenye katiba iliyopo Sasa baada ya kustaafu anajitia ohh katiba iliyopo mbovu hivi vikongwe vinafiki baada ya kula mema ya nchi ndio Leo vinajua katiba mbovu baada ya kuondoka? Akiwemo warioba?

Watanzania tuvihoji hivi vikongwe kwa leo ndio mumejua katiba mbovu? Hamkujua wakati wenu?
121108501_171393311201511_1823060635748365367_n.jpg
 
Mwambieni mzee msuya hatuzungumzii marekebisho ya katiba. Katiba ya sasa imesharekebishwa mpaka ikisikia kuwa inarekebishwa huwa inatetemeka.

Kinachozungumzwa ni katiba mpya
 
Back
Top Bottom