Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
NeverMbona na wewe huwa unamsema mbofumbofu JPM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NeverMbona na wewe huwa unamsema mbofumbofu JPM
Hahahaha
ina maana toka kipindi hicho ni kitu gani kinatufanya tusiendelee, bado najiuliza tu.Nyie si mliunga mkono azimio la arusha kwa kutembea kwa miguu wakati wachagga waliendelea kuangalia fursa zilizokuwepo
upo kijiji gani?Kijijini kwetu wamebakia watu wachache sana, nyumba nyingi zimefungwa
Two wrongs don’t make it right
never
Kama nimekukosea, na kosa lileikajudhilisha wewe, basi hakuna faida ya mpita njia kuendelea kuliongelea hasa in my absence
kwasababu mkosaji sipo, unayemtonesha ni mhanga tu
let’s have sympathy for any victim mkuu
usibariki dhalili
Vijana wanakula maisha. Daff nasikia spring za mguu zimeanza kukatikaHuyu ndiye baba Daffa na Omega?
Okay dearAaaah jamani. Ya Mlatie ile. Marope hayuko kabisa kwenye picture.
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
mrangi ana faili lote la viunga maarufu vya DarOle wako usingejitokeza hapa ningekutafuta.
Mzee wetu apumzike kwa amani
Hahaha watoto wa mjini haomrangi ana faili lote la viunga maarifa Dar
lazma zisemwe , tena sanaAcha kutetea maovu.
Kwa hiyo mtu akifa ishu zake za hovyo zisisemwe?
Acha unafki mkuu embu kuwa Kama Mzee Mandela huyu Mzee hakuwa mnafki alipokuwa hai kuna kipindi kijana wake wa kiume alikufa kwa sababu ya HIV AIDS wakataka kuficha kinafki eti alikufa kwa presha.
Yeye mwenyewe aliamua kueleza ukweli kwamba mwanae alikufa kwa HIVAids.
Tenda mema ili hata ukifa usemwe vizuri
Usitegemee kusemwa vizuri ukiwa umekufa wakati ulipokuwa mzima ulikuwa unatenda mambo ya hovyohovyo.
Ndoo mkae matafakari. Mie ni mangi wa uchagani na kwa sasa niko Gailo huku natafuta shamba la kukodi nilime alizeti mie. Manake tayari fursa iko wazi kabisa kwa soko la mafuta ya kulaina maana toka kipindi hicho ni kitu gani kinatufanya tusiendelee, bado najiuliza tu.