TANZIA Mzee Damas Assey, mmiliki wa Rose Garden afariki Dunia

Nyie si mliunga mkono azimio la arusha kwa kutembea kwa miguu wakati wachagga waliendelea kuangalia fursa zilizokuwepo
ina maana toka kipindi hicho ni kitu gani kinatufanya tusiendelee, bado najiuliza tu.
 

Acha kutetea maovu.
Kwa hiyo mtu akifa ishu zake za hovyo zisisemwe?
Acha unafki mkuu embu kuwa Kama Mzee Mandela huyu Mzee hakuwa mnafki alipokuwa hai kuna kipindi kijana wake wa kiume alikufa kwa sababu ya HIV AIDS wakataka kuficha kinafki eti alikufa kwa presha.
Yeye mwenyewe aliamua kueleza ukweli kwamba mwanae alikufa kwa HIVAids.
Tenda mema ili hata ukifa usemwe vizuri
Usitegemee kusemwa vizuri ukiwa umekufa wakati ulipokuwa mzima ulikuwa unatenda mambo ya hovyohovyo.
 
lazma zisemwe , tena sana
 
ina maana toka kipindi hicho ni kitu gani kinatufanya tusiendelee, bado najiuliza tu.
Ndoo mkae matafakari. Mie ni mangi wa uchagani na kwa sasa niko Gailo huku natafuta shamba la kukodi nilime alizeti mie. Manake tayari fursa iko wazi kabisa kwa soko la mafuta ya kula
Karibu sana
 
Aisee leo kuna vifo kibao.
Halafu wote wana pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…