Pole kwa familiaMsuya amefariki leo hospital ya Mzena
Apumzike kwa amani
Alijenga lami mikoa ya kilimanjaro na Arusha tuWazee wetu wazalendo wanaishia ivyo
Na wafisadi wameshika hatamu
Ni Waziri Mkuu Mstaafu katika Awamu Mbili za Mwanzo kwa nyakati Tofauti .Amezaliwa Mwanga Kilimanjaro -1931. Moja ya Viongozi Bora kabisa katika Taifa la Tanzania. Google kwa Wasifu wake zaidi. Apumzike kwa Amani.Samahani ndugu, ndo nani huyo