Rais Samia Suluhu ametangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya ambaye amefariki leo Mei 7, 2025 alipokuwa akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Mzena
Msuya mafanikio yake yalisababisha leo hii Wapare wengi sana wamesoma Accounting & Finance Tanzania kuna CPA wengi sana wapare kwasababu ya mafanikio ya Mpare mwezetu Msuya