TANZIA Mzee David Cleopa Msuya afariki Dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Mzena

TANZIA Mzee David Cleopa Msuya afariki Dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Mzena

Soka mpaka leo moyo wangu umejaa maumivu kama ningekuwa nauwezo ningefunga mdomo wa ndugu yangu soko usiseme jambo la kuichukiza mamlaka au ningezuia safari yake ya mwisho lakini yote hayo hayakuwa ndani ya uwezo wangu ana niuma Soka mpaka kesho huku hawa wahuni wana furahia maisha wao na familia zao kwa kweli vifo vyao ni tafrija kwangu hata kama najua nami nitakufa.
Kama mtu amevunja sheria za nchi, si kuna mahakamani?? Apelekwe huko basi. Hao madhalimu siku inakuja mkuu kama ilivyokuwa kwa Saddam Hussein wa Iraq
 
Kumbe nao huwa wanakufa ? Ha ha ha😆


Sasa kwa nini wanatuumiza nakuacha makovu yasiyo tibika katika familia zetu ?

Kwakweli vifo vya wakoloni weusi kwangu ni furaha japo najua nami nitakufa lakini kushuhudia hawa watu wakifa kwangu ni faraja.

Soka yupo wapi ? Bibi yake machozi hayamuishi
 
Rais Samia Suluhu ametangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya ambaye amefariki leo Mei 7, 2025 alipokuwa akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Mzena


Aliekaa kwenye kiti mwendo ni CLEOPA DAVID MSUYA
=> Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Tanzania 1994-1995
=> Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1980 -1983
=> Waziri wa Wizara tofauti kama wizara ya Fedha na wizara ya viwanda
=> Katibu Mkuu wa Wizara tofauti tofauti
=> Mtia nia ya kuwania urais kupitia Chama cha Mapinduzi Mwaka 1995 alikuwa kwenye wale makada watatu Yeye, B.M Mkapa na JK

RIP Mzee Msuya Nasubiri ibada ya mazishi CCM wapigwe za uso tena na maaskofu
 
Sikufahamu kama alikuwa na uzito kiasi hicho hadi taifa linakuwa kwenye maombolezo wiki nzima!

Tunatanguliza pole nyingi kwa familia na shukrani za dhati kwa mwenyezi Mungu kwa kutujalia maisha ya mzee huyu aliefanya kazi ya utumishi wa uma katika taifa hili.

Apumzike kwa amani.
 
Kama mtu amevunja sheria za nchi, si kuna mahakamani?? Apelekwe huko basi. Hao madhalimu siku inakuja mkuu kama ilivyokuwa kwa Saddam Hussein wa Iraq
Upo sahihi.

Wamejimilisha mahakama na mifumo yote wao ndio wanaamua nani awe hai na nani awe mfu uzuri nao hawana mamlaka ya kuamua kuwa wawe hai milele ama laah.
 
Rais Samia Suluhu ametangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya ambaye amefariki leo Mei 7, 2025 alipokuwa akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Mzena


Aliekaa kwenye kiti mwendo ni CLEOPA DAVID MSUYA
=> Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Tanzania 1994-1995
=> Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1980 -1983
=> Waziri wa Wizara tofauti kama wizara ya Fedha na wizara ya viwanda
=> Katibu Mkuu wa Wizara tofauti tofauti
=> Mtia nia ya kuwania urais kupitia Chama cha Mapinduzi Mwaka 1995 alikuwa kwenye wale makada watatu Yeye, B.M Mkapa na JK

Wazalendo wa kweli ndio wanaishia ivo...Tunabaki na hawa wa 10%
 
Back
Top Bottom