Kagemro
Platinum Member
- Jan 11, 2010
- 1,576
- 795
Seriously ? You can’t read or open the video?Samahani ndugu, ndo nani huyo
Seriously ? You can’t read or open the video?Samahani ndugu, ndo nani huyo
Alikuwa mtu mzito na sehemu ya waasisi wa taifa aka “establishment”.Sikufahamu kama alikuwa na uzito kiasi hicho hadi taifa linakuwa kwenye maombolezo wiki nzima!
Tunatanguliza pole nyingi kwa familia na shukrani za dhati kwa mwenyezi Mungu kwa kutujalia maisha ya mzee huyu aliefanya kazi ya utumishi wa uma katika taifa hili.
Apumzike kwa amani.
Rais Samia Suluhu ametangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya ambaye amefariki leo Mei 7, 2025 alipokuwa akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Mzena
View: https://www.youtube.com/watch?v=Y8LcWxXTdv8
=========================
View attachment 3326997
Aliekaa kwenye kiti mwendo ni CLEOPA DAVID MSUYA
=> Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Tanzania 1994-1995
=> Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1980 -1983
=> Waziri wa Wizara tofauti kama wizara ya Fedha na wizara ya viwanda
=> Katibu Mkuu wa Wizara tofauti tofauti
=> Mtia nia ya kuwania urais kupitia Chama cha Mapinduzi Mwaka 1995 alikuwa kwenye wale makada watatu Yeye, B.M Mkapa na JK
Ulitaka aung’ate mkono ulokuwa wamlisha?ameacha katiba mbovu bila kuikemea
Panapomstahili.Alale pema
Dogo wa 2000 huyu, alikuwa waziri mkuu kipindi cha awamu ya kwanza ya Julius Nyerere.Samahani ndugu, ndo nani huyo
Tupe dondoo kidg, na sie tupate kujua zaidi kuhusu hili.Anafahamu wazi. Mwenzie kapata ajali yeye kafanya sherehe kwa siri nyumbani kwake.
Kwahiyo siku 7 hakuna kwenda kazini?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. David Cleopa Msuya kilichotokea leo tarehe 07 Mei, 2025 katika Hospitali ya Mzena Jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa moyo. Taarifa zaidi ya Mipango kamili ya msiba itaendelea kutolewa na Serikali.
Rais Dkt. Samia ametangaza siku 7 za maombolezo ambapo bendera zitapepea nusu mlingoti kuanzia leo tarehe 7 hadi 13 Mei, 2025.
Rais Dkt. Samia anawapa pole Ndugu, jamaa na Watanzania wote kwa msiba huu.
RIP, mzee wetu.R.I.P
Ndio waziri Mkuu mstaafu!Samahani ndugu, ndo nani huyo
Ndio waziri Mkuu mstaafu!Samahani ndugu, ndo nani huyo
Mzigo wa kuhudumia Wastaafu, imepungua kiidooooogoooo!Ni huzuni, Taifa limepoteza.
Rais Samia Suluhu ametangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya ambaye amefariki leo Mei 7, 2025 alipokuwa akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Mzena
View: https://www.youtube.com/watch?v=Y8LcWxXTdv8
=========================
View attachment 3326997
Aliekaa kwenye kiti mwendo ni CLEOPA DAVID MSUYA
=> Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Tanzania 1994-1995
=> Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1980 -1983
=> Waziri wa Wizara tofauti kama wizara ya Fedha na wizara ya viwanda
=> Katibu Mkuu wa Wizara tofauti tofauti
=> Mtia nia ya kuwania urais kupitia Chama cha Mapinduzi Mwaka 1995 alikuwa kwenye wale makada watatu Yeye, B.M Mkapa na JK
Aisee fafanua zaidi Mkuu.Anafahamu wazi. Mwenzie kapata ajali yeye kafanya sherehe kwa siri nyumbani kwake.