Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
Msalimie Adui yako Edward Sokoine.Msuya amefariki leo hospital ya Mzena.
RIP Cleopa Msuya.
Msalimie Adui yako Edward Sokoine.Msuya amefariki leo hospital ya Mzena.
RIP Cleopa Msuya.
Nahofia kizazi kilichobakiWazee wetu wazalendo wanaishia ivyo
Na wafisadi wameshika hatamu
Huyu anajua nini kilimtokea SokoineNi Waziri Mkuu Mstaafu katika Awamu Mbili za Mwanzo kwa nyakati Tofauti .Amezaliwa Mwanga Kilimanjaro -1931. Moja ya Viongozi Bora kabisa katika Taifa la Tanzania. Google kwa Wasifu wake zaidi. Apumzike kwa Amani.
Nothing lasts forever. Hata Saddam Hussein alikufa. Hao wazee ndio vikwazo vya mabadiliko hapa Tanzania. Acha waende tu mkuu.Nahofia kizazi kilichobaki
Anafahamu wazi. Mwenzie kapata ajali yeye kafanya sherehe kwa siri nyumbani kwake.Huyu anajua nini kilimtokea Sokoine
Ilikuaje?Anafahamu wazi. Mwenzie kapata ajali yeye kafanya sherehe kwa siri nyumbani kwake.
Huu ni msiba wa taifa usiingize siasa.Rest in Peace Cleopa David Msuya! Umeipigania nchi na kuifikisha pazuri!! Leo wahuni wachache wanaacha kuhubiri maendeleo wanahubiri No Reform No Election!! Pathetic!!
Rest well Jongwe!! Rest in peace Simba!!
Bado cjaelewa kitu!R.I.P Edward Sokoine , wajuzi wa mambo mtakuwa mmenielewa.
Ukitaja umri wako elimu yako na uraia wako utatusaidia wengi kuepuka dhambi ya matusi.Samahani ndugu, ndo nani huyo
Acha ujinga weweRest in Peace Cleopa David Msuya! Umeipigania nchi na kuifikisha pazuri!! Leo wahuni wachache wanaacha kuhubiri maendeleo wanahubiri No Reform No Election!! Pathetic!!
Rest well Jongwe!! Rest in peace Simba!!
Umeshatimkia chama cha ubwabwa au bado uko mtaani? Unatufanya wengine sasa tuamini jinsi watu wengi wanavyosema. Kuwa kwa mara ya kwanza tangu turudi kwenye mfumo wa vyama vingi, Tanzania sasa hivi ina upinzani wa kweli na siyo yule ''dalali'' Mbowe aliyekuwa anauma na kupuliza.Rest in Peace Cleopa David Msuya! Umeipigania nchi na kuifikisha pazuri!! Leo wahuni wachache wanaacha kuhubiri maendeleo wanahubiri No Reform No Election!! Pathetic!!
Rest well Jongwe!! Rest in peace Simba!!
Nenda Google itakupa taarifa zaidi ya utakachoambiwa hapa....Samahani ndugu, ndo nani huyo
Msuya amefariki leo hospital ya Mzena.
RIP Cleopa Msuya.
Msuya amefariki leo hospital ya Mzena.
RIP Cleopa Msuya.
Kumbe wewe ni mzee ndiyo maana huna tactic mpya. Old dogAlijenga lami mikoa ya kilimanjaro na Arusha tu
Familia lazima wamshukuru Mungu kwa kuwapa CD. Kawaachia pepo wana Mwanga.Familia poleni