Mathayo daudi ni mbunge wa kitambo na ni mtoto wa msuyaMhhh mhhh
Sio kwamba anakula pension ya cheo kilicho kikubwa , sijui sana mambo ya standing order lkn sidhani kama alikua anachukua pension mbili kwa wakati mmoja.
Niuliza hivo kwa sababu sijawahi kusikia watoto wake kama ilivyo kwa Nyerere, Kawawa, Sokoine , Kolimba, Lowasa, Malecela , Sumawe, Mwinyi , Mkapa,Karume ,Kikwete ,Makamba, nk yaani ule msemo wa mtoto wa nyoka ni nyoka kwake sijaona watoto wake na Salim siwaoni siasani
Rais Samia Suluhu ametangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya ambaye amefariki leo Mei 7, 2025 alipokuwa akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Mzena
View: https://www.youtube.com/watch?v=Y8LcWxXTdv8
=========================
View attachment 3326997
Aliekaa kwenye kiti mwendo ni CLEOPA DAVID MSUYA
=> Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Tanzania 1994-1995
=> Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1980 -1983
=> Waziri wa Wizara tofauti kama wizara ya Fedha na wizara ya viwanda
=> Katibu Mkuu wa Wizara tofauti tofauti
=> Mtia nia ya kuwania urais kupitia Chama cha Mapinduzi Mwaka 1995 alikuwa kwenye wale makada watatu Yeye, B.M Mkapa na JK

Unambiwa alikua makau wa rais waziri mkuu, alipata kuwa na nyasifa, kubwa jmt, anasitahili.Sikufahamu kama alikuwa na uzito kiasi hicho hadi taifa linakuwa kwenye maombolezo wiki nzima!
Tunatanguliza pole nyingi kwa familia na shukrani za dhati kwa mwenyezi Mungu kwa kutujalia maisha ya mzee huyu aliefanya kazi ya utumishi wa uma katika taifa hili.
Apumzike kwa amani.
Miaka 94 siyo haba kwa matunzo ya kodi zetu.Apumzike kwa amani.Nothing lasts forever. Hata Saddam Hussein alikufa. Hao wazee ndio vikwazo vya mabadiliko hapa Tanzania. Acha waende tu mkuu.
Siku za kuishi mwanadamu ni miaka 70 zaidi ya hapo ni bonus tena maisha ya dhiki na taabu nyingi. Kafa na 94+ ,wapi taifa limepoteza na sisi vijana wasomi tusiokuwa na ajira tuko wengi mitaani.Ni huzuni, Taifa limepoteza.