Mathayo daudi ni mbunge wa kitambo na ni mtoto wa msuya
Unabisha tu kumbe..mathayo sio mtoto wa cleopa msuya.
..kama ni mwanae ukweli utajulikana kipindi hiki cha msiba.
Unabisha tu kumbe
Wa nje wa ndoa. Tetesi...mathayo sio mtoto wa cleopa msuya.
..kama ni mwanae ukweli utajulikana kipindi hiki cha msiba.
Wa nje wa ndoa. Tetesi.
Ulijuaje. Bila shaka ni mwendo wa bia na Misosi ya bureAcha uvivu wa kupika
Upanga mitaa gani? Nipo na bodaboda naingia popoteUpanga somewhere.
Naona ripoti hapa Majaliwa alikwenda Upanga kwenye msiba