TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

Yaani unaona kabisa umri umeenda unaenda kuchukua toto kama hiyo wakati una presha una kisukari unashushia na viagra unataka nini wewe kama sio kufia gesti.
Tumuombe Mungu atupe mwisho mwema wa maisha yetu.
Ila na hawa mabinti wa siku hizi hawana adabu. Kweli Babu wa miaka 80 anavuliwa chupi na binti wa miaka 33? Tofauti ya miaka 47? Kweli kiama kije tu wajameni.
 
Yaani unaona kabisa umri umeenda unaenda kuchukua toto kama hiyo wakati una presha una kisukari unashushia na viagra unataka nini wewe kama sio kufia gesti.
Tumuombe Mungu atupe mwisho mwema wa maisha yetu.
Ni kweli. Ukisoma vizuri, gemu ilikuwa haijaanza. Walikuwa kwenye maandalizi. Bila shaka babu alibugia Viagra. Sasa umri+Viagra+presha+kisukari=kifo.
 
Kuna lizee limoja la kimaasai tupo nae kitaa juzi kati alimwinamisha mdada wa umri huou tupo nae kitaa kimoja pia, mdada akapata 60 yake a kaweka mfokoni, yule dada alikunja roho ili apatemo kodi ya nyumba . maana sio kwa lizee lile jamani 😢😢
Hivi kumbe babu wa 80yrs anaweza kupiga game!😳
cc: Chakorii
. Hawa wazee wa siku hizi hawana dogo
 
Back
Top Bottom