TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

Apumzike kwa Amani!

Kweli huyo binti hapo kwa picha ndio alikua anaenda kulala na huyo Mzee?!
Yaani Mimi nikivaa viatu vya mke wa marehemu vinanibana!!

Analia kufiwa na mume? Analia mumewe kafa akiwa na mwanamke mwingine nyumba ya wageni? Analia kwa kifo Cha aibu kilichomkumba mumewe? Analia anawawazia wanae wanajisikiaje juu ya tukio?

Yaani analia na haelewi hasa nini kinamliza.

Khaa wanaume mengine mtupunguzie jamani. Kuna umri ukifika jaribuni kushindana na hiyo mnayosema "necha"
 
Nilikuwa nina mpango wa kuwa single lakini naghairi. Kuna hatari ya kuja kuzeeka nikaanza kukimbizana na mademu nikatia hasara familia na kuharibu historia yangu. Kwa kuzingatia mzee nani yule Waziri wa zamani aliyekufa baada ya kuoa pisi kali, na huyu wa sasa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]very true
 
Mtumeeeee kama. Hvy mabikra hakuna na kwa hal hiyo tunakaz kubwa katika kampen ya kupinga mambo hayo
 
Back
Top Bottom