TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

Apumzike kwa Amani!

Pole sana kwa mke wa marehemu na familia, Muumba awape uvumilivu mumsitiri mwendazake bila kinyongo maana amewavua nguo!

Sad!

Huyo binti kanisikitisha mno! Mno!
Kabisa aisee poor woman mzee ametoka hai bukheri wa afya anarudi maiti doh... aibu juu ya msiba, na binti atajuta yaani huu msala sio wa kitoto hata kidogo tamaa zimemwingiza matatizoni
 
Hapo kuna helaa zingine zimepigwaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mzee kumiliki pisi kali hiyo hawezi kuwa na 37K tu ni UONGOOOOO MKUBWA.
Mzee wa Kishua sana.
Vijana wapiga dili hawana hela ya kulipia hotel room, hawana hela ya kulipia lodge.
Wakijitahidi watalipia guest house tu
 
Ila na hawa mabinti wa siku hizi hawana adabu. Kweli Babu wa miaka 80 anavuliwa chupi na binti wa miaka 33? Tofaut ya miaka 47? Kweli kiama kije tu wajameni.
Yaani vibinti vimechunwa uso hakuna aibu hata maadili yameporomoka sana kweli binti ukaone nywele za sirini za mvi kweli? huo ujasiri unautoa wapi kama sio laana.
 
Mnamo siku ya tarehe 16/01/2021 Legend na Dkt Makerenge alipatwa na mauti akiwa kifuani mwa mrembo Neema ..!
Hii tunaizungumziaje kitaalamu..! Hivi huyu neema ana nini cha Ziada ???
 
wazee wanafaidi sana siku hizi japo kwa mda mfupi wanadanja .....
 
Mzee wa miaka 80 alienda kupiga kazi ya miaka 33 huku akiwa na 37,000 mfukoni baada ya chipsi na mishkaki 3.

Inasemwa kwamba daktari ndiye anaweza declare mtu kufariki, hivyo huu uongozi wa gesti kudai uligundua mteja wao amefariki na kuamua kutaarifu polisi ni move sahihi kweli?

As walitumia kipimo gani? Achana na muvi ule mtindo wa kusikiliza kifua... Mimi naona na mtu aliyetoa taarifa ya kifo angehojiwa pia.
Kibinadamu mtu aliyekufa anajulikana isipokuwa kisheria mwenye mamlaka ya kutangaza kifo cha mtu ni Daktari wa serikali.
 
Mkuu tumpumzishe huyu mzee sasa. Jana imejadiliwa sana kuanzia hapa JF hadi na mitandao mingine. Imetosha mkuu, tuache kamanda apumzike kwa amani na tuwape ndugu, jamaa na familia yake nafasi kumpumzisha mzee wao.

Nadhani ingekuwa ni baba yako au babu yako au mjomba wako ungechukulia yaliyojadiliwa yanatosha.
 
Kuna maswali mtu unaweza jiuliza halafu ukakosa majibu ...najiuliza huyo binti alifuata nini kwa guys babu...aliahidiwa kazi ..pesa au tamaa za ngono?
 
Nimekupenda mno mno..the Best comment ingawa wengi hataelewa ulichosema..

Hakuna aliye msafi Fereke . Huyu mzee watu tumemnanga sana na kumfedhehesha akiwa hana uwezo wa kujitetea, kuomba msamaha wala kutujibu chochote.

Tumeiadhibu na kuiumiza sana sana familia yake na watu wake wa karibu haswa mke wake, watoto, wajukuu, marafiki na majirani
Hukumu, kejeli, dharau na yote ya kwenye hii mitandao inaweza kusababisha tatizo kubwa zaidi kwa wapendwa wake waliobaki. Inaweza sonona hata kusababisha kifo kingine

Tumwombe sana Mungu atujalie neema yake mabaya yasitukute hata mwisho tufe kifo chema.
Na tusisahau we are all sinners, we just sin differently! Chochote chaweza kumkuta mtu yoyote iwapo bado anaishi
 
Necha ya mwanaume ni kupiga mshipa kwenye vitobo, unakuta mke hana ladha kashafulia. Ila dam changa zinahamasisha[emoji16][emoji16][emoji16] ukienda kugusa unakuta network haisomi fresh...Una nyege ila dhakar haisimami unaamua kuipigia jeki kwa Viagra. Moyo unaanza kusukuma damu kwa kasi matokeo yake unabastisha mishipa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Necha itawauwa Hadi mkome
 
Back
Top Bottom