TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

LAKINI NEEMA ALIKIRI KUA HUYO MZEE ALIKUA NI MPENZI WAKE,
KWAHIYO UNATAKA KUTUAMBIA KUA SIKU HIZI WATU WANASIKILIZIA SHIDA ZA WATU GUEST HOUSE?
 
Walikuwa faragha. Aidha walikuwa wanapenzika au lah, ila inaonyesha walikuwa wawili sirini huko.
 
Swali jepesi kabisa why guest house na si mahala pengine popote ambapo wangeweza fanya maongezi poa kabisaa....Neema jifunze kutofautisha mazingira guest house ni kwa mapumziko na bedball ligi ya wawili.Samahani lkn.
 
Watu tulishaanza kusahau Ila wewe unawa mind hadi umewaanzishia Uzi.

Senior Baharia died in active service.
 
Polisi wamefanya makosa kushindwa kutunza faragha ya marehemu.

RIP.
 
Hahaha K ni yako mama kwanini wakupangie matumizi??[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Yaani unaona kabisa umri umeenda unaenda kuchukua toto kama hiyo wakati una presha una kisukari unashushia na viagra unataka nini wewe kama sio kufia gesti.

Tumuombe Mungu atupe mwisho mwema wa maisha yetu.
Anataka nini? Anataka kuwahi jehanamu.
 
Huyu analika asijifiche kwenye kichaka cha maandishi kupinga tena hawa wanaojikuta wagumu ndio huliwa na watu wa ajabu hadi unashangaa inakuaje kuaje anavuliwa chupi...
[emoji817][emoji109]
 
Lipo la kujifunza kwa vijana haiwezekani mdada mzuri namna hiyo kimuonekano kuwa na mahusiano na mzee wa miaka 80 huku vijana mumejaa tele. Teh.
Huenda alikuwa kahaba huyo demu
 
Ww utakuwa mme wake na binti sasa unamtetea mkeo ili asionekane kakukosea[emoji1787] Dah! Limbwata c mchezo aiseee yaan licha ya maeleoz yote toka kwa binti kuwa walikuwa katika kuandaana waanze kufanya ngono, hayo yote ww umefunika [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…