ROGATH MCHAU
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 569
- 1,009
LAKINI NEEMA ALIKIRI KUA HUYO MZEE ALIKUA NI MPENZI WAKE,wana jf
watu wengi kwenye mtandao wapo bize nakuhukumu huyu mdada na mzee wa miaka 80 wakielekeza kwenye tendo la ngono kwa kuwa huyu jamaa kafia kwenye Hotel,
Kila mtu huwa anahitaji afaragha kumsiliza mtu, huyu mzee uenda alimwita kusikiliza shida zake aweze kumsaidia, katika mazungumzo kati yake na yule mdada uenda kamsimulia mateso anayopata humu mjini mpaka yakampa shock kubwa iliyopelekea kifo chake, mdada anadai ni mara ya kwanza kuonana naye pia anadai alipofika alijisikia njaa kali ilyompelekea aombe chakula na akaagiziwa chips mishikaki, hivyo huyu mzee ni mwenye kusikiliza shda za vijana sio kumkimbizia shutuma za hapa na pale kuwa alikuwa kwenye maandalizi ya tendo la ngono.
tusihukumu jamani kwa kuwa wenye siri ni hawa wawili tu
KWAHIYO UNATAKA KUTUAMBIA KUA SIKU HIZI WATU WANASIKILIZIA SHIDA ZA WATU GUEST HOUSE?