TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

AFANDE RPC (R)RCO(R)STAFF OFFICER (R)OPP OFFICER (R)OCD MABWEPANDE


YAH: TUKIO LA KIFO CHA MASHAKA
GBA/IR/142/2021

MLAL: O.A.MSHANGAMA - ASP

Mlalamikaji anaeleza kuwa mnamo tarehe 16/1/2021 majira ya saa 18:00hrs akiwa kituo cha polisi Mabwepande alipokea taarifa toka kwa incharge CID Goba A/Insp. Gwake kuwa huko Mbezi Makonde katika hoteli ya Mbezi Garden kuna mteja amefariki chumbani(x)

Taarifa kamili ni

Kwamba mnamo tarehe 16/01/2021 majira ya saa 17:55hrs huko goba kituo cha polisi(x) a/insp.gwake mwakapande alipokea taarifa toka kwa meneja wa hoteli ya mbezi garden aitwaye Newton s/o Simkonda, Mnyiha, 44yrs, Mkristo, Meneja, mkazi wa Ukonga Majohe(x)kuwa huko Mbezi Garden hotelini kwake katika wlaya ya kipolisi Mabwapande na mkoa wa Kinondoni kuna mteja amefariki dunia chumbani alipokodi akiwa na mwanamke wake(x)baada ya taarifa hiyo kupokelewa Mkuu wa Upelelezi Mabwepande pamoja na I/C CID Goba walifika eneo la tukio na kumkuta mwanamke aitwaye Neema d/o Kibaya, Mpare, 33yrs, biashara, Mkristo, mkazi wa Goba Marobo aliyekuwa na marehemu na (x) kueleza kuwa alifika hotelini hapo leo tarehe 16/01/2021majira ya saa 15:00hrs walipokuwa wamekubaliana wakutane na kumkuta marehemu ameshachukua chumba namba 22 akiwa na maji na juice(x)

Baada ya kufika aliweza kuagiziwa chips na mishikaki mitatu na marehemu(x) akiwa anasubiria chips hizo huku wakiwa wanaendelea maandalizi ya tendo la ngono(x) ghafla alimwona marehemu akipumua kwa shida ndipo akatoka kwenda mapokezi kuomba msaada(x)baada ya taarifa wahudumu waliongozana na uongozi wa hoteli walifika na kumkuta marehemu haongei na hafanyi chochote huku akiwa ametoa macho ambapo uongozi wa hoteli ulibaini kuwa mteja wao amefariki dunia (x) ndipo meneja akachukua jukumu la kuwajulisha polisi ambapo walifika eneo la tukio.

Katika uchunguzi wa awali uliofanyika mwili wa marehemu haujakutwa na jeraha lolote (x). Katika upekuzi marehemu alikutwa na simu aina ya tecno na pesa Sh. 37,000/=na kitambulisho cha mpiga kura na kuweza kumtambua kwa jina la Davis Makerege Mabeba, Mluli, 80yrs, Mkristo, mkazi wa Goba kwa Ndambi(x)mwanamke aliyekuwa na marehemu chumbani anashikiliwa kituo cha polisi goba kwa mahojiano(x)tukio limekaguliwa na OC CID Mabwepande O. A Mshangama ASP akisaidiana na Incharge CID Goba A/Insp. Gwake pamoja na timu ya makachero (x)

Mwili wa marehemu umehifadhiwa Hospitali ya Mwananyamala kwa uchunguzi (x) taarifa kituoni na Newton S/O Simkonda na kupokelewa na J 92 PC Inocent leo 16/01/2021 saa18:44hrs(x) fcr maendeleo zitafuata(x)

-Mwisho-

Toka Crime Mabwepande

====

David Makerege (80) Mkazi wa Goba Dar es salaam amefariki Dunia akiwa kwenye Hotel ya Mbezi Garden (chumba No.22), January 16,2021, Polisi Kinondoni wamethibitisha.

“Kwenye chumba hicho tulimkuta pia Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Neema Kibaya (33) ambaye ameeleza kuwa Marehemu alikuwa ni Mpenzi wake”- POLISI

“Uchunguzi wa awali umeonesha mwili hauna jeraha lolote, baadaye mwili ulipelekwa Hospitali ya Mwananyamala kwa ajili ya uchunguzi zaidi na hifadhi” -POLISI
View attachment 1680143View attachment 1680144

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani iyo picha ya binti ni ya kweli!
 
Acheni kuwananga warembo wanajua kutumia uzuri wao na bottom power. Sasa wee mrembo kama yule asipande vieti kweli? Mie wala siwalaumu pisi kali kwenda kwa vijibabu vyenye hela maana bao moja wapo chali na huduma kama zote.

Sasa kutana na mzabzab akihonga laki mbili tuu atataka akugegede mpaka akumwagie wadhungu mdomoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mnawajaza upepo tu nothing real! Ukimaliza hapa kuwamba mnaenda kwenye thread ya kuoa mabikra napo mkawaponde kwamba ni maused!??

Binaadam mnachokitafuta mtakipata, keep it up!
 
Mpaka Mtoto mrembo namna hiyo anatembea na mzee wa miaka 80... Joooh unadhan amefata mboooo???


Hiyo Picha ya mzee isikuhadae ..

Kikubwa vijana tuendelee kutafuta Pesa Basi.

Chips kavu na mishkaki mitatu?? Maji ya kunywa na juice?? Simu tecno??? Spare me please!!

Loose ball kama loose ball, nothing much! She couldn’t even put Class in that Ass??! Jinga sana!
 
Mimi kwa PISI kali aliivyo Neema yaan Marehemu nampa KONGOLE yaliyotokea ni ajali kazin ..mjeshi kufia depo au vitani ni sehemu ya kazi .
 
1. Babu kama huyo kama ana gari imeshajazwa mafuta hata 40 asubuhi.
2. 37000 ni pesa iliyobaki baada ya shughuli zote.
3. Neema kama mpunga alishapewa na anapewaga. Hapo alikua anakamilisha ratiba za mpunga uliothibitishwa na kuandaa mazingira ya mbeleni.

Na huyo ni mpasuaji ana cheni ya vibabu.sema babu tu alizama DM mapema mtoto akajifungulia dunia.

Ila daaah mambo ya ajabu sana haya though ni ya kawaida duniani.

Vijana tafuteni hela mjikizi maisha yenu, PUSSY, MONEY, WEED/ ALCOHOL.
msitafute hela kwaajili ya pussy tu.
Nakumbusha STINGY MEN ASSN. IPO PALE PALE
 
90% nyuzi ninazoanzisha zinafutwa nyingine hata sioni sababu ya msingi as to why mods are deleting them. Kwenye huo Uzi ...

1.Watu wanatumia maneno makali ya matusi ambayo ni fedheha.

2.Binadamu wote tunakosea at some points in our lives we need forgiveness Ila Hawa tushawahukumu tayari.Huyo dada hata kazi hawezi kupata na akiishtaku jf anaweza kulipwa hela ndefu.
 
Inasikitisha sana Mzee wa 80yrs bado unaenda Guest kula Dogodogo? Halafu unaenda kuchukua kabinti kadogo hapo lazima alilamba viagra ndio ikmrestisha in peace.
Hako tena sio kabinti, usisahau wazee wanaopita na mabinti 18-25yrs hawavuki hapo
 
Haya ndio madhara ya kuwahi kuoa na unaoa mwanamke wa umri wako.

Wanawake akisha fikisha 50 chini kuna kauka hata mate hayawezi lainisha wakati mwanaume.wa 50 kitu bado kinasimama kama mshale wa saa 6.

Sasa huyu mzee kama alioa mwanamke wa umri wake maana yake hapati mahitaji yake ya ndoa.

Bibi wa miaka 70 au 75 kitandani yupo negative.

Vijana jutahidini kuoa wanawake wadogo kwa tofauti ya umri miaka hata 15 hadi 20 ili mtakapo fika miaka 70 au 80 walau wawe kwenye 50 na 60.

Wazee kama hawa kama wangekua wanapata mahitaji yao kwa wake zao wasinge kufa kwa aibu namna hii.

Wazee wengi wanakufa kwa pressure kwa sababu ya kukosa mapenzi ya wake zao kwa sababu mwanaume ana koma kufanya mapenzi siku akiingia kaburini na mwanamke anaanza kukosa hamu ya mapenzi kuanzia miaka 40 n akifika 60 hawezi kabisa kufanya mapenzi.
 
Haya ndio madhara ya kuwahi kuoa na unaoa mwanamke wa umri wako.

Wanawake akisha fikisha 50 chini kuna kauka hata mate hayawezi lainisha wakati mwanaume.wa 50 kitu bado kinasimama kama mshale wa saa 6...
Hasa kijana wa 30 akioa msichana msichana miaka 15 au 20 tofauti si ni kubaka.
 
Back
Top Bottom