TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

Nionyeshe Habari ya mwanamke wa umri wa miaka 80 aliefia lodge kwenye kifua cha kijana wa miaka 35?! Almost impossible right?

Sometimes we refuse to see how bad something is until it completely destroys us! You could never play a root and a branch at the same time!
Sasa hapo itawezekana vipi kibibi wa 80 afie lodge na kijana wa 35 wakati nature simply doesnt permit it.
 
Ajali kazini hii, ila fedheha mno kwa familia yake. Huyu msichana wa kipare alikuwa akifanya kazi ktk frem pale Goba ambazo ni mali ya huyu mzee baba kamanda.
Hayo mengine wanamzushia,hapo mzee Alikuwa anachukua kodi tu.
 
Kuna lizee limoja la kimaasai tupo nae kitaa juzi kati alimwinamisha mdada wa umri huou tupo nae kitaa kimoja pia, mdada akapata 60 yake a kaweka mfokoni, yule dada alikunja roho ili apatemo kodi ya nyumba . maana sio kwa lizee lile jamani [emoji22][emoji22]

. Hawa wazee wa siku hizi hawana dogo
Huyo mdada alikunjua roho, sio kukunja"
 
Hawa viumbe sio wa kuamini na akili zao ni km za kuku sometime, Yan hoja zake zinaji contradict zenyewe

Huyu analika asijifiche kwenye kichaka cha maandishi kupinga tena hawa wanaojikuta wagumu ndio huliwa na watu wa ajabu hadi unashangaa inakuaje kuaje anavuliwa chupi...
 
wana jf

Watu wengi kwenye mtandao wapo bize nakuhukumu huyu mdada na mzee wa miaka 80 wakielekeza kwenye tendo la ngono kwa kuwa huyu jamaa kafia kwenye Hotel.

Kila mtu huwa anahitaji afaragha kumsiliza mtu, huyu mzee uenda alimwita kusikiliza shida zake aweze kumsaidia, katika mazungumzo kati yake na yule mdada uenda kamsimulia mateso anayopata humu mjini mpaka yakampa shock kubwa iliyopelekea kifo chake, mdada anadai ni mara ya kwanza kuonana naye pia anadai alipofika alijisikia njaa kali ilyompelekea aombe chakula na akaagiziwa chips mishikaki, hivyo huyu mzee ni mwenye kusikiliza shda za vijana sio kumkimbizia shutuma za hapa na pale kuwa alikuwa kwenye maandalizi ya tendo la ngono.

Tusihukumu jamani kwa kuwa wenye siri ni hawa wawili tu.
 
Unataka kuwasafisha? Hawasafishiki duniani na akhera . Sijui umetumwa na ibilisi
 
Back
Top Bottom