mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Kwani unafikiri wao hawaenjoy!? Uzuri unawalisha vizuri na wewe unakula vizuri sana ili uweze kuwarudisha kwa performance ya kiwango cha juuKwahi
o kumbe mi natumika eeh, ila nawatumia pia bila extra cost zaidi ya kula tu 😂
Yaani kwa kifupi unatumiwa na unatumikishwa na wanawake mbalimbali kukidhi haja zao nyingi..... wakati huo wewe unakidhi haja yako moja😂😂😂😂