Mzee Dude wa FUTUHI afariki dunia

Mtamile

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
2,838
Reaction score
1,274

Msanii wa kundi la Futuhi Mzee Dude amefariki dunia Leo mida ya saa kumi na moja jion.


Habari zinasema kuwa alizidiwa jana Jumapili na kukimbizwa katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza Marehemu alikuwa akosumbuliww na ugonjwa wa figo kushindwa kufanya kazi

-----------------------------------------
PICHA ZA MAZISHI
------------------------------------------

DUA YA KUMUOMBEA MAREHEMU IKIENDELEA


KUELEKEA MALALONI


MAZISHI YAKIENDELEA


MAZISHI YAKIENDELEA



WASANII WA KIKUNDI CHA FUTUHI WAKIWA MSIBANI
 
Gogle nadhani sitakuwa mbali sana, FUTUHI=COMEDY=VICHEKESHO.
 
Last edited by a moderator:
Niliwahi kusikia kuwa FUTUHI ni ile ngozi laini kwenye tundu ya kutolea haja kubwa, au nimekosea?
 
Muigizaji wa vichekesho wa futuhi mzee dude amefariki dunia katika hosptali ya bugando mwanza
 
Hahaaaa.... Rip.
Ila nilidhani ni yule dude wa bongo dalisalama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…