Mzee Dude wa FUTUHI afariki dunia

Mzee Dude wa FUTUHI afariki dunia

maskini mzee wa.watu, nilikuwa nikimpenda akiigiza na kale kadada kafupi, kwasasa ntabaki kumshabikia yule jamaa muha wa tengua kauli!
 
RIP mzee wa futuhi wameonyesha kwenye taarifa ya habari Star TV
 
Rip dude.asante wajf kwakwenda na wkti kutuletea picha ya marehemu
 
Msanii wa kundi la Futuhi Mzee Dude amefariki dunia Leo mida ya saa kumi na moja jion.


Habari zinasema Inauma sana 2po pa1 ktk kpnd hk kgum
 
RIP Mzee Dude, ulionyesha umahiri wako, vijana wa tasnia hiyo wakuige uchapakazi wako.
 
Back
Top Bottom