Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,785
Una maana Mayala bin pascoNyie malaya wa kanda ya ziwa shombo tuu. Kwenu maendeleo ya cdm sijui mnayachuliaje?
Kwani hapo kafukuzwa na nani?je ungekuwa na mgombea mwenzake tofauti na kivuli ingekuwaje?tuseme ameona malengo Yake yameshindwa ameamua kukimbia kwa kisingizio kama Dkt slaa demokrasia naona ipo sana hapo hawa jamaa Chadema wako imara sanaTukisema Mbowe ni dictator nyumbu hawaelewi, ila sasa wanaanza kuelewa, kilichomkuta Zitto ndio kimemkuta Sumaye, huko CDM ukitaka tu kugombea uenyekiti - taifa, lazima ufukuzwe au utaitwa msaliti au utazimwa ktk kura za awali ndani ya CDM
WoteMagufuli na Mbowe nani Dikteta?
sasa mbona wamekuambia basi inatosha weweNlipojiunga CHADEMA nilipokelewa vizuri, wananchi wakaniomba nigombee Kanda ya Pwani nikakubali.
Demokrasia ni kuchaguliwa tu? Kutokuchaguliwa siyo demokrasia? Alitaka awe amepita bila kupingwa?Sasa alikuwa hajui kama ndani ya Chadema hakuna demokrasia ? Kwani Lowassa aliwekwa vipi kuwa mgombea Urais Chadema ? Chadema hakuna demokrasia wala maendeleo.
Achana nao uzuri ni kuwa wao sio wapiga kura wa kumchagua mwenyekiti wa CHADEMAHivi ni kwa nini CCM na vibaraka wake wa ndani na nje ya Chama hawataki Mbowe awe Mwenyekiti?
Tupo watu makini kuliko akina polepole jiwe, kabudi
Chadema yazaliwa upya
Daudi Mchambuzi unamsikia mzee Sumaye, kazi ya upinzani ni kuifanya CCM isilale usingizi na siyo kushika Dola...... Uwepo wa Upinzani mnufaika namba 1 ni CCM!