Wake watatu duuu mzee wako kakinaiwa k tofauti anataka k moja tu
dini yangu inaruhusu
We utakua na minyoo aina ya Syfokamphemiasis.
Meza: Fagil 32 kwa week moja. I mean....2x3 kwa kutwa hadi siku 5
Au waweza kumeza flagil 10 kwa wakati mmoja...ila hakikisha umekula vizuri kabla hujala.
Kiufupi magonjwa yote ya genetorial. ..tiba yake ni hiyo.
Inatibu kila kitu chenye kuhusu mambo ya uzazi...mfano..kaswende..kisonono....kutosimamisha etc..name any
Mimi nina wake watatu, nawahudumia wote na wawili wana ajira zao nzuri. Tatizo sasa mzee hajasimama na wote wanaonekana wanahitaji huduma hii nyeti ya kitandani. nashindwa kuelewa nifanyeje. nimeishia kuwafanyia romance na kuwachezea kwa kidole naona sasa watanichoka.
Nisaidieni wadau.
Haya.. naomba unifundishe kupost video JF
Natumia LaptopKwanza Mimi natumia simu, wewe jee?
Price mtoto mzuri, usijali, Excel yupo kwa ajili yako! ukitaka kupost video, hesabu hapo kuanzia kwenye bold, ukifikia hicho kitufe cha 14, hiyo ndiyo sehemu maalum ambayo una-paste URL kutoka lets say, youtube.. then unapost quickly!! video yako tunaiona live JF!!!.... Be happy with excel!!!Haya.. naomba unifundishe kupost video JF
Kwanza Mimi natumia simu, wewe jee?
Natumia Laptop
Ayyaaa hiyo wacha nimuite tu Excel, kama kwa simu fasta tu