Mzee hajasimama wiki ya tatu

Mzee hajasimama wiki ya tatu

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
586
Mimi nina wake watatu, nawahudumia wote na wawili wana ajira zao nzuri. Tatizo sasa mzee hajasimama na wote wanaonekana wanahitaji huduma hii nyeti ya kitandani. nashindwa kuelewa nifanyeje. nimeishia kuwafanyia romance na kuwachezea kwa kidole naona sasa watanichoka.

Nisaidieni wadau.
 
Mmmhh majanga umemuoverwork mwana pumzika kama mwezi mpeleke mwana service sperm bank imefilisika bankrupted kabisa !kumiliki K 3 si mchezo
 
Wake watatu duuu mzee wako kakinaiwa k tofauti anataka k moja tu
 
Ghafla au?
Mimi najuaga wote wanaooa wanawake wengi ni marijali haswa!
Pole sana.
Unataka msaada wa aina gani?
 
Mwache apumzike bhana.... Excel njoo nifundishe kupost video JF, ukichelewa namuita utafiti
 
Last edited by a moderator:
We utakua na minyoo aina ya Syfokamphemiasis.

Meza: Fagil 32 kwa week moja. I mean....2x3 kwa kutwa hadi siku 5

Au waweza kumeza flagil 10 kwa wakati mmoja...ila hakikisha umekula vizuri kabla hujala.

Kiufupi magonjwa yote ya genetorial. ..tiba yake ni hiyo.

Inatibu kila kitu chenye kuhusu mambo ya uzazi...mfano..kaswende..kisonono....kutosimamisha etc..name any
 
Unataka kuua wewe
 
Astaghafirullah? Vidole tena?!
Anyway, oa wa nne.

Mimi nina wake watatu, nawahudumia wote na wawili wana ajira zao nzuri. Tatizo sasa mzee hajasimama na wote wanaonekana wanahitaji huduma hii nyeti ya kitandani. nashindwa kuelewa nifanyeje. nimeishia kuwafanyia romance na kuwachezea kwa kidole naona sasa watanichoka.

Nisaidieni wadau.

#MosKwito !
 
Haya.. naomba unifundishe kupost video JF
Price mtoto mzuri, usijali, Excel yupo kwa ajili yako! ukitaka kupost video, hesabu hapo kuanzia kwenye bold, ukifikia hicho kitufe cha 14, hiyo ndiyo sehemu maalum ambayo una-paste URL kutoka lets say, youtube.. then unapost quickly!! video yako tunaiona live JF!!!.... Be happy with excel!!!
Kwanza Mimi natumia simu, wewe jee?

Natumia Laptop

Ayyaaa hiyo wacha nimuite tu Excel, kama kwa simu fasta tu

nimefika kijana, unasemaje hapa??.... Price fuata maelekezo yangu mtoto mzuri eenh!! lolz!)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom