Mimi nina wake watatu, nawahudumia wote na wawili wana ajira zao nzuri. Tatizo sasa mzee hajasimama na wote wanaonekana wanahitaji huduma hii nyeti ya kitandani. nashindwa kuelewa nifanyeje. nimeishia kuwafanyia romance na kuwachezea kwa kidole naona sasa watanichoka.
Nisaidieni wadau.
Nisaidieni wadau.