Mzee Ibughe ni nani Serikalini? Angali haya maeneo anayoonekana utagundua siyo mtu wa mchezomchezo

Mzee Ibughe ni nani Serikalini? Angali haya maeneo anayoonekana utagundua siyo mtu wa mchezomchezo

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
1. Ni Meja Jenerali wa JWTZ.

2. Wakati Rais Magufuli anaapishwa mwaka jana alikuwa pembeni na full gear ya military uniform. (Je pale alikuwa Kama Nani?)

3.Ni Katibu Mkuu Wizara Ya Mambo Ya Nje.

4.Aliwahi kuwa mwenyekiti kikao cha SADC katika capacity kubwa tu via zoom

5.Jana msibani alikuwa ni Kati ya wale most close na family ya mh Rais Magufuli.

Je, huyu Ibughe ni nani?
 
Habari bila picha/video clip sawa na taka taka tu
 
Habari bila picha/video clip sawa na taka taka tu
Huyo mkuu
IBUGE%20SLISDE.jpg
 
Back
Top Bottom