Mzee Ibughe ni nani Serikalini? Angali haya maeneo anayoonekana utagundua siyo mtu wa mchezomchezo

Mzee Ibughe ni nani Serikalini? Angali haya maeneo anayoonekana utagundua siyo mtu wa mchezomchezo

Mwanajeshi ambaye ni mwanazuoni, mwalimu wa sayansi ya siasa pia mwanadiplomasia mahiri balozi brigedia jenerali Wilbert Ibuge akiongea na madiwani

26 June 2022

“SIVAI KOMBATI KWA KUIGIZA MIMI NI MWANAJESHI,TUCHAPE KAZI”,RC IBUGE



Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amewaeleza madiwani wa Halmashauri za Mkoa wa Ruvuma kwa nyakati tofauti kuwa jukumu alilopewa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ni kusimamia utendaji kazi ili kusukuma gurudumu la maendeleo kwa wananchi wa Ruvuma kwa kutekeleza Ilani ya CCM ya 2020 hadi 2025 na kwamba hana mpango wa kuingia kwenye Siasa.

Source : Nyasa DC online

WASIFU:

Brig.Jenerali Wilbert Augustine Ibuge

WORK EXPERIENCE

  • 15 May, 2021 to-date-Regional Commissioner, Ruvuma Region.
  • 06 February, 2020 - 15 May, 2021 - Permanent Secretary, Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation.
  • 01 October, 2019 to 06 February, 2020 – Ambassador, Director and Chief of Protocol, Ministry of Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation.
  • April to September, 2019 – Brigade Operations and Training Officer, 2002(Western) Infantry Brigade Group, Tanzania People’s Defence Forces (TPDF).
  • 18 January, 2016 to 30 March, 2019 – Head of Defence Affairs and Planning in the Organ on Politics, Defence and Security Cooperation Directorate at the Southern African Development Community (SADC) Secretariat Headquarters, Gaborone, Botswana.
  • June, 2007 to December, 2015 – Minister Plenipotentiary and Military Adviser, Permanent Mission of the United Republic of Tanzania to the United Nations, New York, USA.
  • 2003 to 2005 – Assistant Lecturer (International Relations and International Law) in the Department of Political Science and Public Administration, University of Dar es Salaam, Tanzania.
  • 1993 through to 2020 – (various): Military career promotions, from Commission as an Officer Cadet (1993), Second Lieutenant (1995) up to Brigadier General (2020). Gen. Ibuge has also held numerous command and senior staff officer appointments on various units, operational deployments and Headquarters with in the Tanzania People’s Defence Forces. He remains in active service.
  • ACADEMIC QUALIFICATIONS
  • Ambassador Brig. Gen. Ibuge is currently a Ph.D. Candidate at the Department of Political Science and Public Administration of the University of Dodoma.
  • Gen. Ibuge also holds a Bachelor of Arts (BA) in Political Science and Public Administration (Honours, First Class) and a Master of Arts (MA) in Political Science and International Relations from the University of Dar es Salaam.
  • The General is also a graduate of the South African National War College (SANWC) and holder of a National Diploma (Postgraduate) in Defence and Security Studies, SANWC, Pretoria Republic of South Africa.
  • NATIONALITY: Tanzanian.
Source : Wilbert Augustine Ibuge
Source: REMARKS BY AMB. BRIG. GEN. WILBERT IBUGE - ForeignPolicyWatchdog
 
Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge mkuu wa mkoa wa Ruvuma vipi amehamishiwa mambo ya nje ? Mkuu wa Itifaki na katibu mkuu wizara ya mambo ya nje awamu ya JPM wanampeleka wapi ?

10 August 2020
Ambassador Brigadier General Wilbert Augustin Ibuge



Ambassador Brigadier General Wilbert Augustin Ibuge, Permanent Secretary, Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation, United Republic of Tanzania speaking at the SADC Senior Officials virtual meeting on 10 August, 2020
Source : Southern Africa Development Community, SADC
 
28 July 2022



BREAKING NEWS :
01 Agosti 2022


RAIS SAMIA AWAPANDISHA VYEO WALIOKUWA WAKUU WA MIKOA WANAJESHI "WANAKWENDA KUTUMIKIA JESHI"


Waliokuwa wakuu wa mikoa ni Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Augustin Ibuge aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Ruvuma na brigedia jenerali Marco Elisha Gaguti aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mtwara.
Source: millard ayo
 
1. Ni Meja Jenerali wa JWTZ.

2. Wakati Rais Magufuli anaapishwa mwaka jana alikuwa pembeni na full gear ya military uniform. (Je pale alikuwa Kama Nani?)

3.Ni Katibu Mkuu Wizara Ya Mambo Ya Nje.

4.Aliwahi kuwa mwenyekiti kikao cha SADC katika capacity kubwa tu via zoom

5.Jana msibani alikuwa ni Kati ya wale most close na family ya mh Rais Magufuli.

Je, huyu Ibughe ni nani?
kuwa karibu na ndugu wa marehemu imekuwa sifa !
 
1. Ni Meja Jenerali wa JWTZ.

2. Wakati Rais Magufuli anaapishwa mwaka jana alikuwa pembeni na full gear ya military uniform. (Je pale alikuwa Kama Nani?)

3.Ni Katibu Mkuu Wizara Ya Mambo Ya Nje.

4.Aliwahi kuwa mwenyekiti kikao cha SADC katika capacity kubwa tu via zoom

5.Jana msibani alikuwa ni Kati ya wale most close na family ya mh Rais Magufuli.

Je, huyu Ibughe ni nani?
Hangaya kamla kichwa
 
Back
Top Bottom