Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Wewe ungepewa ekalu kama zawadi ungerudisha?
Prime minister wa uingerezaYuko Chini ya uchunguzi Kwa kukarabati flat wanakolala mawaziri wakuu lililo no 11 downing Street Kwa kuwa alitumia michango bila kutangazia umma nchi Tajiri kabisa inayojiweza walau.nchi yenye ufukara wa kutupwa wanajengeana ma kasiri na kuopeana hadharani kabisa mbele ya mafukara na ufukara wao. Matusi haya ya watawala wa kiafrika unahisi tuyakomeshe Kwa kuwaadhibu hasa CCM inayotuketea hawa wachumia tumbo.
Hii Sheria ya hovyo na ya wizi na kijipendeleaNasikia Kuna sheria inaruhusu basi tuifute
Ndugu yangu, hata chaguzi zenyewe zinaibiwa ili waweke ndugu zao, rafiki zao au watu wa chama chao ili kulinda uharamia kama huu!Sijaona tatizo kwa kiongoz yeyote kulaumiwa kwenye hili. Tatizo ni sisi wananchi mazwazwa kuchagua viongoz mazwazwa kwenda kutuwakilisha kizwazwa pale bungeni. Sheria zote za nchi hii zinaanzia bungeni. Na sheria ni msumeno. Leo mwananchi unalalamika wakati mbunge wa jimbo lako kazi ni kukonga makifi wakati sheria hiz kandamizi zinapopitishwa unategemea nn?... my take. Watanzania amkeni wapimeni viongoz kabla la kuwachagua. Kwani ndio chanzo cha haya maswahibu yote yanalolikumba taifa.
Hao marais nao waliopita walikuwa wanafiki. Kwanini hiyo sheria wasingeifuta kama waliona ni ya kinyonyaji?Sheria ilikuwepo lakini marais wote waliona Haya kuitekeleza, akaja Jiwe mwenye PhD ya unafiki akawajengea wote Kwa mpigo. Lawama ni Kwa Jiwe sio JK
Wapigaji tu...Sheria ilikuwepo lakini marais wote waliona Haya kuitekeleza, akaja Jiwe mwenye PhD ya unafiki akawajengea wote Kwa mpigo. Lawama ni Kwa Jiwe sio JK
nahisi alikuwa anajijengea mazingira yeye mwenyewe pia, lakini mwisho wa siku hakupata alichokitegemeaSheria ilikuwepo lakini marais wote waliona Haya kuitekeleza, akaja Jiwe mwenye PhD ya unafiki akawajengea wote Kwa mpigo. Lawama ni Kwa Jiwe sio JK