Mzee Jangala vs MC Pilipili: Nani zaidi?

Mzee Jangala vs MC Pilipili: Nani zaidi?

Mimi binafsi Mc pilipili

hivi jamani nna stress zangu kibao, nitegemee mc pilipili anichekeshe?!!!! haiwezekani lucheka ukiwa na stress hata aje nani
 
Mbona unafananisha Watu wenye kaliba tofauti? Mzee Jangala ni mkongwe, na alivuma kupitia michezo ya redioni enzi hizo na mwanaye Mshamu, Kiatu, Mzee Mundu n.k... enzi hizo hakukuwepo You tube, instagram wa TV...

Pilipili ni wa zama hizi, haiwezekani wakawa na mashabiki wa aina moja.

Mzee Jangala alibamba sana kipindi chake, hivyo hebu tafuta watu sahihi kwa kuwashindanisha.
 
Back
Top Bottom