Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mto rufiji na bahari ya hindi wapi na wapi? Bakari mbelembe sio mchezo wakidhaminiwa na dar group enzi hizo mtata kwelikweli unamsikiliza kama vile unamuona penye luningaAcha kumfananisha Legend na vitu vya kijinga
Enzi hizo huyu jamaa hakuwepo mjini tusimlaumu bure.Mto rufiji na bahari ya hindi wapi na wapi? Bakari mbelembe sio mchezo wakidhaminiwa na dar group enzi hizo mtata kwelikweli unamsikiliza kama vile unamuona penye luninga
Duh! Umemaliza kila kitu watu tunawakumbuka kina mahoka unacheka kwa sauti na sio hawa wauza sura.Enzi hizo huyu jamaa hakuwepo mjini tusimlaumu bure.
Eti ni kama ulinganifu wa Toyo na BMWMlima Kilimanjaro Vs Kichuguu nani zaidi
Jangala = Toyo? Wakati Dr. Pilipili = BMW?Eti ni kama ulinganifu wa Toyo na BMW
[emoji23] vice versa is trueJangala = Toyo? Wakati Dr. Pilipili = BMW?
Pilipli me naona anapgaga kelele tuu..hana jpya..kla SKU ohh my god..kah