kuna wengine ndimbe na nyau[emoji23]
Umenikumbusha mbali san mku
Ndimbe na nyau, miaka hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] 2000s
Awajmaa bhna, kwanza vichekesho vyake vingi vili base in audio form, kwenye zile kanda za kaseti
Na walikuwa wanazunguka mkoa tu mkoa, hasa maeneo ya stand au sokoni, aisee apo mtacheka saana, hiyo stand komedy
Ila badae watauza kanda zao, wanapiga chao wanasepa
Mala ya mwisho niliwaon home Tunduma, kam sikosei 2004 au 2005..
Mpka leo zile kanda zao zipo pale home,,, way back.
Nasema we ni legendary kwa kuwakumbuka hawa jamaa