Mzee Jangala vs MC Pilipili: Nani zaidi?

Mzee Jangala vs MC Pilipili: Nani zaidi?

Jamaa anatulazimisha tucheke afu Hata hachekeshi anaishia kujichekesha mwenyew kuna huyo pilipili na yule dogo wa ig,na wale wa chuga aisee huwa siwaelewagi kabisa
 
kuna wengine ndimbe na nyau[emoji23]
Umenikumbusha mbali san mku

Ndimbe na nyau, miaka hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] 2000s

Awajmaa bhna, kwanza vichekesho vyake vingi vili base in audio form, kwenye zile kanda za kaseti

Na walikuwa wanazunguka mkoa tu mkoa, hasa maeneo ya stand au sokoni, aisee apo mtacheka saana, hiyo stand komedy

Ila badae watauza kanda zao, wanapiga chao wanasepa

Mala ya mwisho niliwaon home Tunduma, kam sikosei 2004 au 2005..

Mpka leo zile kanda zao zipo pale home,,, way back.

Nasema we ni legendary kwa kuwakumbuka hawa jamaa
 
Back
Top Bottom