Mzee John Malecela: Mafisadi wote watakaojaribu kuivuruga CCM watashughulikiwa. Miradi yote aliyoacha Dkt. Magufuli ikamilishwe

Akiongea na kituo cha runinga cha Azam, leo asubuhi mjini Dodoma, mzee John Malecela amemshukuru aliekuwa raisi marehemu John Magufuli kwa kazi nzito ya kujenga upya mji wa Dodoma...
Mwacheni Mzee Malicela apumzike. Ngoma iliyombele ya Watanzania kwa sasa haiwezi.
 
Aisee hizi dharau wanazoonesha hawa CCM/Magufuli benefactors aiseee.....I wish mama aje na reforms za ajabu nchi iwe kama United States of America ndio wataelewa vizuri

Amka haraka hii ndoto ni ya kutisha sana.
 
Magufuli licha ya watu kumuona anakasoro fuani fulani lakini Magufuli alikuwa anajuwa kusimamia kile anachotaka kuona kifanyike
Mambo ya mikataba, usimamizi wa miradi ,manunuzi.

Je, mh Samia ataweza kuwa kama JPM?

Au zaidi ya JPM!

Ila tunamtakia kila la kheri aweze fanikiwa

Ova
Hapa ndiyo kuna tatizo kubwa kwa Africa ambalo Barack Obama aliliona alipohutubia Bunge la Ghana mwaka 2009 na akasema "Africa doesn't need strongmen, it needs strong institutions."
Ukiwa na strongman akifa na mambo yake YANAKUFA. Lakini Strong Institutions hata Rais akifa zenyewe zinabakia.

Mfano wa strong institutions ni Katiba ya Wananchi, Tume Huru ya Uchaguzi, Mahakama Huru na Bunge Huru. Vile vile TISS inayolinda masilahi ya nchi na siyo ya Rais, Jeshi, Polisi na Magereza.

Kwa Afrika nchi zenye Strong institutions ni Afrika Kusini, Kenya, Egypt.

Maguvu ya Magufuli yalisababisha Bunge liwe butu, Mahakama iwe imamuogopa yeye. Maguvu yakamfanya ajenge kiwanja cha ndege kijijini kwake na kumteua mtoto wa Dada yake Dotto James kuwa Mlipaji Mkuu wa Serikali
 
Wakimaliza kuchoma nyumba za kizazi cha Tundu Lissu, watahamia kwa wengine, na hii chuki itasambaa hakuna atakaebaki salama maana wakimaliza kwa wote watahamia na kwako pia
Ndio. I will keep hating and find a chance to prove my haterade.

Now ndio naamini CCM wana roho nzuri sana. Mwaka 1994 Rwanda Baada ya Kuuawa Rais wa Kihutu watutsi zaidi ya laki nane waliuawa, Nashangaa CCM hadi sasa wako Kimya wakati wanazijua familia za akina Lissu na Lema zinapokaa ila wao pamoja na UVCCM wamekaa kimya.

Iran alipouliwa General wao walionesha what they can do.

UVCCM kila siku wanaimba Vijana Jeuri ya Chama ila hadi sasa hakuna kitu wameamua
 
Akiongea na kituo cha runinga cha Azam, leo asubuhi mjini Dodoma, mzee John Malecela amemshukuru aliekuwa raisi marehemu John Magufuli kwa kazi nzito ya kujenga upya mji wa Dodoma.

Mzee John Malecela ambae aliwahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania na balozi nchini Uingereza amemtakia kheri Raisi Samia Suluhu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Aliulizwa kuhusu maono ya marehemu JPM kama CCM itaweza kuyabeba na kuyandeleza yale yote ambayo ameyaacha.

Mzee Malecela akajibu kwamba marehemu John Magufuli alipochaguliwa kuwa mwenyekiti wa CCM aliahidi kukiimarisha chama cha mapinduzi na kukifanya kuwa chama chenye nguvu nchini.

Akaendelea kwa kusema nguvu ya CCM ilijidhihirisha kwenye uchaguzi wa mwaka 2020.

Mwisho akatoa onyo kwamba ikiwa kuna mafisadi ambao wana mpango wa kuja kukivuruga chama cha mapinduzi basi anaahidi kuwa watashughulikiwa ipasavyo.

Hayo ni maoni makini ya mmoja wa wazee na waasisi wa taifa hili yaani kwa kiingereza twasema "part of establishement".

Lakini tuchukulie kuwa hilo ni onyo kwa kila mtanzania ambae ana mawazo mengine mbadala ya mawazo ya CCM na dira ya maendeleo 2015-2025.

Wakati huohuo CCM mchana huu wapo kwenye kikao kizito kinachokaliwa na mzee Phillip Mangula.

Katibu mwenezi Humphrey Polepole anatarajiwa kutoa taarifa rasmi kuhusu yalojiri kwenye kikao hicho.
Ni maneno ya sasa tu ya kufariji hadhira ..subiri msiba upite maisha yarudi kwenye mstari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anasema hivyo akiwa na mamlaka yepi??
Hawa si ndiyo wale wazee marehemu Hayati alisema wanawashwa washwa!
Mafisadi watokee wapi wakati tiyari wapo humo humo ndani ya CCM??!

Ngoja kwanza waanze mtifuano wa fitina!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Hahaaa!! Yaani mama Samia ana kaazi jamani sipati picha, dhima alopewa ni kubwaa mnoo lakini naona bado akifanya masihara atapelekeshwaa! Yaani huyu mama amuombe sana Mungu tena mnooo! Ampe hekima na busara maana mbele ni kugumu sana.
Huyu wanamtisha wana mtandao.
Na 2025 wanampiga chini, kazi kwake aweke legacy yake au ambebe Magu na vision zake
 
Mzee wangu namheshim Sana, ila asiwe muhongo,mbele za mungu, ccm hakuna, kilichokuepo ni kuitumia manguvu tu, KWA mtazamo wangu MAREHEM kakiacha chama chake icu,Kama mtu anabisha livunjwe bunge, weka tume huru tuone ni wabunge wangapi watarudi ,wa ccm hawatazidi 10,may be mwenyekiti mpya aje na mikakati mipya,but all ni all kusema tz ccm imenawili ni uongo wa hasubui,
Akiongea na kituo cha runinga cha Azam, leo asubuhi mjini Dodoma, mzee John Malecela amemshukuru aliekuwa raisi marehemu John Magufuli kwa kazi nzito ya kujenga upya mji wa Dodoma.

Mzee John Malecela ambae aliwahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania na balozi nchini Uingereza amemtakia kheri Raisi Samia Suluhu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Aliulizwa kuhusu maono ya marehemu JPM kama CCM itaweza kuyabeba na kuyandeleza yale yote ambayo ameyaacha.

Mzee Malecela akajibu kwamba marehemu John Magufuli alipochaguliwa kuwa mwenyekiti wa CCM aliahidi kukiimarisha chama cha mapinduzi na kukifanya kuwa chama chenye nguvu nchini.

Akaendelea kwa kusema nguvu ya CCM ilijidhihirisha kwenye uchaguzi wa mwaka 2020.

Mwisho akatoa onyo kwamba ikiwa kuna mafisadi ambao wana mpango wa kuja kukivuruga chama cha mapinduzi basi anaahidi kuwa watashughulikiwa ipasavyo.

Hayo ni maoni makini ya mmoja wa wazee na waasisi wa taifa hili yaani kwa kiingereza twasema "part of establishement".

Lakini tuchukulie kuwa hilo ni onyo kwa kila mtanzania ambae ana mawazo mengine mbadala ya mawazo ya CCM na dira ya maendeleo 2015-2025.

Wakati huohuo CCM mchana huu wapo kwenye kikao kizito kinachokaliwa na mzee Phillip Mangula.

Katibu mwenezi Humphrey Polepole anatarajiwa kutoa taarifa rasmi kuhusu yalojiri kwenye kikao hicho.
 
Yeye tu sikumoja uarabuni alibadilisha jinalake.ufisadi ccm sawasawa na chai na mama mjamzito aliyepo labour akisubiria kujifungua,chai yarangi nimuhimu sana kwake
 
Urais ni kazi ngumu kwa upande mmoja lkn pia ni kazi nyepesi kwa upande mingine - raha yake ni kuwa:-
(i). Unakuwa na timu ya wataalam wabobezi - huwezi kukwama kabisa,

(ii). Rais ana kinga ya kutoshitakiwa - hapa Mhe Mama Samia ana hiari nini akifanye ilimradi malengo yake yawe yenye tija kwa taifa,

(iii). Rais ana viongozi wastaafu washauri i.e Marais, Makamu, Waziri Wakuu nk nk - hivyo hawezi kukwama kabisa ktk jambo lolote,
 
Akiongea na kituo cha runinga cha Azam, leo asubuhi mjini Dodoma, mzee John Malecela amemshukuru aliekuwa raisi marehemu John Magufuli kwa kazi nzito ya kujenga upya mji wa Dodoma.

Mzee John Malecela ambae aliwahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania na balozi nchini Uingereza amemtakia kheri Raisi Samia Suluhu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Aliulizwa kuhusu maono ya marehemu JPM kama CCM itaweza kuyabeba na kuyandeleza yale yote ambayo ameyaacha.

Mzee Malecela akajibu kwamba marehemu John Magufuli alipochaguliwa kuwa mwenyekiti wa CCM aliahidi kukiimarisha chama cha mapinduzi na kukifanya kuwa chama chenye nguvu nchini.

Akaendelea kwa kusema nguvu ya CCM ilijidhihirisha kwenye uchaguzi wa mwaka 2020.

Mwisho akatoa onyo kwamba ikiwa kuna mafisadi ambao wana mpango wa kuja kukivuruga chama cha mapinduzi basi anaahidi kuwa watashughulikiwa ipasavyo.

Hayo ni maoni makini ya mmoja wa wazee na waasisi wa taifa hili yaani kwa kiingereza twasema "part of establishement".

Lakini tuchukulie kuwa hilo ni onyo kwa kila mtanzania ambae ana mawazo mengine mbadala ya mawazo ya CCM na dira ya maendeleo 2015-2025.

Wakati huohuo CCM mchana huu wapo kwenye kikao kizito kinachokaliwa na mzee Phillip Mangula.

Katibu mwenezi Humphrey Polepole anatarajiwa kutoa taarifa rasmi kuhusu yalojiri kwenye kikao hicho.
Spent force, tupa kule
 
Mzee Mwinyi, JK ,Warioba, Mwandodya, Dr Skein, Mwinyi Rais wa Zanzibar, Karume, Jaji Samata, Assad , kwa ujumla hawa ndo watu niowaona Mama akae nao mara kwa mara kama kioo cha kujipima na kupata jambo jipya.

Hawa wanaoanza kuongea kwa sasa waache wakati utawasemea na kuwajibia.
Kwenye listi pia namuongeza mzee Butiku. Hawa wana akili iliyotulia kuongoza njia
 
Hao mafisadi wanatoka wapi tena jamani?? Kumbe CCM bado ni chama kilekile sema wanasubiri tu nafasi ili kufanya ubadhirifu??

Binafsi sinaona uongozi wa JPM ulikuwa na mazuri mengi, shida mifumo haikuimarishwa ili katika hali ya kutokuwepo kwake, bado mambo yaende!!

Sasa wasiwasi nyingi kama hakuwahi kuwepo. Maneno ya viongozi na maonyo yao ni alama kuwa mifumo bado ni dhaifu!! Sasa tukubali kufanya katiba n sheria mpya!!
 
Back
Top Bottom