Mzee Malechela ndio aliyekua mwasisi wa na chanzo Cha ufisadi nchini.
Kwani huyu kwa tamaa zake na genge lake walimwingiza Ali Hasan Mwinyi choo Cha like kwa kwenda Zanzibar na kuua Azimio la Arusha na kinda Azimio la Zanzibar.
Azimio la Zanzibar lilimkwaza Nyerere na toka hapo Mwalim akawa hampendi Malechela.
Azimio la Zanzibar liliondoa misingi ya Azimio la Arusha,viongozi waliruhusiwa kuchuma Mali,lakini wao wakaanza kukwapua Mali za uma.ufisadi,uuzaji was viwanja vya wazi,kufilisi mashirika ya uma n.k.
Huyu Mzee Babu ndio chanzo Cha ufisadi wote.
Jiulize kwa nini Mwalimu Nyerere alitaka kutoka CCM ikiwa Malechela angeruhusiwa ku gombea urais mwaka 1995? Nyerere alirudisha kadi ya CCM mara baada ya kuambiwa Jina la Malechela limo kwenye orodha ya wagombe.
Ilibidi Jina la Malechela litolewe ndio Nyerere akachukua kadi yake.
Magufuli alikua Raisi was kawaida Sana,
Hakua na busara za kiuongozi,hamfikii Kikwete hate robo.
Hakuheahimu katiba
Hakufuata sheria
Hakufuata Mila,desturi na Tamaduni za kitanzania,mfano kutotoa kauli chafu hadharani,utawala wa Mabavu,vitisho,utekaji,utesaji na mauaji ktk utawala wake vilishamiri.
Hakuheshimu mahakama,bunge na wataalam,
Vyombo vya habari vilizimwa,uhuru wa kutoa maoni ulizimwa,wapinzani waliteswa,kuonewa na kufilisi,mfano mmilikiwa wa Club Bilicanas na bustani za mbogamboga alihujumiwa.,yaani mambo ni menge.
Uongozi ni busara,hekima na maarifa,sio nguvu.