Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
FactMzee Butiku na Mzee Warioba, ndizo tunu pekee kutoka kundi la wazee, tulio nao sasa.
Hawa wazee, kuwepo kwao CCM hakujawaondole akili wala hekima kama kwa wanaCCM wengi vijana.
Hawaogopi UVIKO19?Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwl Nyerere Joseph Butiku , leo amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , bado haijawekwa wazi kikao hicho kililenga nini hasa .
Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa Taarifa zaidi juu ya kikao hicho
View attachment 1933442View attachment 1933441View attachment 1933443
Watakua wameshachanjaHawaogopi UVIKO19?
Ohooooo !!Nyerere mwenyewe alisema CCM sio mama yake, na akaisifia chadema...wakamzima
Ushahidi wa Shangazi kaja wawa mzigoBaadae ya hichi kikao Mbowe out sooner than later
Duuuh!!Nyerere mwenyewe alisema CCM sio mama yake, na akaisifia chadema...wakamzima
Kumbe alizimishwa?!Nyerere mwenyewe alisema CCM sio mama yake, na akaisifia chadema...wakamzima
Kama Mama anaheshimu Mwl Nyerere Foundation na wazee washauri....basi wamuachie Mbowe ile kesi ni upuuzi mtupu mama afute kesi kupitia DppMkurugenzi wa Taasisi ya Mwl Nyerere Joseph Butiku , leo amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , bado haijawekwa wazi kikao hicho kililenga nini hasa.
Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa Taarifa zaidi juu ya kikao hicho
View attachment 1933442View attachment 1933441View attachment 1933443
Anatembelea vyama vya siasa jana alikuwa ACT wazalendo!Butiku kabeba ujumbe toka juu kaupeleka kwa katibu
Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwl Nyerere Joseph Butiku , leo amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , bado haijawekwa wazi kikao hicho kililenga nini hasa.
Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa Taarifa zaidi juu ya kikao hicho
View attachment 1933442View attachment 1933441View attachment 1933443
Tarehe 13 atakuwa chauma.Anatembelea vyama vya siasa jana alikuwa ACT wazalendo!
Mzee Butiku na Mzee Warioba, ndizo tunu pekee kutoka kundi la wazee, tulio nao sasa.
Hawa wazee, kuwepo kwao CCM hakujawaondole akili wala hekima kama kwa wanaCCM wengi vijana.
Hata Lowasa alisemagaNyerere mwenyewe alisema CCM sio mama yake, na akaisifia chadema...wakamzima