Mzee Joseph Butiku akutana na Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

Mzee Joseph Butiku akutana na Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

Mlevi wa konyagi hawezi kuachiwa kwa sababu ya shinikizo, kama ushahidi upo ajibu mahakamani. Hizi zuga zuga hazitasaidia kitu chochote.
 
hic
Hawa wazee ndiyo walimpa kichwa Magufuli wakijua wanamkomoa Kikwete. Lakini mwisho wa siku walijutia ujinga wao. Sioni hata kwa sasa kama wana msaada wowote maana wameshapoteza ushawishi nchini
Jungu hilo
 
Mzee Butiku na Mzee Warioba, ndizo tunu pekee kutoka kundi la wazee, tulio nao sasa.

Hawa wazee, kuwepo kwao CCM hakujawaondole akili wala hekima kama kwa wanaCCM wengi vijana.
Kwa bahati mbaya sana wanapuuzwa ndani ya chama chao. Hawana 'influence' yoyote kwa sasa ndani ya chama hicho.
 
Naona unajaribu kupunch issue ya kukutana na CDM ili ionekane ni issue alikua anatembelea vyama vyote ili tu isionekane ni cdm pekee 😂😂😂😂😂😂
Anatembelea vyama vya siasa jana alikuwa ACT wazalendo!
 
..lazima kuwe na wazee wanaoheshimika na kuaminika na kila upande ktk siasa za Tz.

..wazee hao wanaweza kuwa msaada pale ambapo wanasiasa wamekosa maelewano na joto la kisiasa limeanza kupanda.
 
Nani aungane na mtu muovu? Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi dhalimu bila damu kumwagika.
akika Corona haipo nchini ,na watanzania wameungana na hayati Magufuli,
Hakuna cha barakoa wala mjomba wake sanitizer
 
Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwl Nyerere Joseph Butiku , leo amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , bado haijawekwa wazi kikao hicho kililenga nini hasa.

Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa Taarifa zaidi juu ya kikao hicho

View attachment 1933442View attachment 1933441View attachment 1933443
Hivi Chadema imesahau kuwa Corona ipo? Yaani Mnyika anaongea na Mzee Butiku kwa ukaribu huo bila barakoa.? Pamoja na kujilinda, tuwalinde zaidi wazee wetu. Corona ni hatari zaidi kwao.
 
Chadema Mwezi wa tatu tuu mlikua mnaongea maneno kama haya kwa Rais Samia na leo mmeshamgeukia



Hata Lowasa alisemaga
Kuna mtu alisema ukiwaelewa Chadema wanataka nini, kimbia haraka kwa daktari wa akili akakutibu ukichaa. Hata dunia haiwaelewi
 
Back
Top Bottom