Vipi mzee Mwinyi na mzee Malechela?Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwl Nyerere Joseph Butiku , leo amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , bado haijawekwa wazi kikao hicho kililenga nini hasa.
Endelea kutufuatilia hapa hapa JF kwa Taarifa zaidi juu ya kikao hicho
View attachment 1933442View attachment 1933441View attachment 1933443
Wana chanjoHivi Chadema imesahau kuwa Corona ipo? Yaani Mnyika anaongea na Mzee Butiku kwa ukaribu huo bila barakoa.? Pamoja na kujilinda, tuwalinde zaidi wazee wetu. Corona ni hatari zaidi kwao.
Hawa wazee ndiyo walimpa kichwa Magufuli wakijua wanamkomoa Kikwete. Lakini mwisho wa siku walijutia ujinga wao. Sioni hata kwa sasa kama wana msaada wowote maana wameshapoteza ushawishi nchini
na aliwaambia kuwa haoni chama pinzani Kitakacho ifurusha FICEM zaidi ya CHADEMANyerere mwenyewe alisema CCM sio mama yake, na akaisifia chadema...wakamzima
AminaCDM ndilo tumaini pekee lililobakia kwa watanzania.
Hiyo clip ya video na mahojiano mpaka leo imefichwa chini ya handaki la ikulu.na aliwaambia kuwa haoni chama pinzani Kitakacho ifurusha FICEM zaidi ya CHADEMA
Subutu Kama hujui Hawa ndo wenye nchi, wewe wachukulie poa,Hawa wazee ndiyo walimpa kichwa Magufuli wakijua wanamkomoa Kikwete. Lakini mwisho wa siku walijutia ujinga wao. Sioni hata kwa sasa kama wana msaada wowote maana wameshapoteza ushawishi nchini
Mkuu wakati anayaongea haya kipindi hicho tv zilikuwa hazijachanganya nilimsikia kwenye redio na bahati nzuri nilirekodi hiyo hotuba yake kama nikikumbuka aliongea kipindi cha sherehe yake ya kuzaliwa ambayo ndio ilikuwa ya mwanzo na mwisho kwamaana alikuwa hapendi sana mambo ya sherehe za kuzaliwa. na siku hiyo nakumbuka aliongea vitu vizito ambavyo hakupaswa kuongea na Mungu amsamehe huko aliko lala mana alisema maneno ambayo ndio yamechangia hiyo hotuba yake iwekwe sandukuni au ifukiwe kabisaa na isisikiwe kabisa na mtu mwengine kwa siku zijazo. bahati mimi nikarekodi kwa redio kaseti yangu wakati huo nilikuwa na kaseti redio inaitwa contech kwa wanaoikumbuka mzee julius alisema namnukuu... '' Mama yangu hapa anamiaka mia na usheehe... na badoyupo... sasa kwanini mimi nisifike huko... nakula vizuriii nalala vizurii... kwa afya yangu niliyonayo nitapiga makumi mawili manne,,, makumi mawili manne NNAUHAKIKA''Hiyo clip ya video na mahojiano mpaka leo imefichwa chini ya handaki la ikulu.
Mkuum
Mkuu wakati anayaongea haya kipindi hicho tv zilikuwa hazijachanganya nilimsikia kwenye redio na bahati nzuri nilirekodi hiyo hotuba yake kama nikikumbuka aliongea kipindi cha sherehe yake ya kuzaliwa ambayo ndio ilikuwa ya mwanzo na mwisho kwamaana alikuwa hapendi sana mambo ya sherehe za kuzaliwa. na siku hiyo nakumbuka aliongea vitu vizito ambavyo hakupaswa kuongea na Mungu amsamehe huko aliko lala mana alisema maneno ambayo ndio yamechangia hiyo hotuba yake iwekwe sandukuni au ifukiwe kabisaa na isisikiwe kabisa na mtu mwengine kwa siku zijazo. bahati mimi nikarekodi kwa redio kaseti yangu wakati huo nilikuwa na kaseti redio inaitwa contech kwa wanaoikumbuka mzee julius alisema namnukuu... '' Mama yangu hapa anamiaka mia na usheehe... na badoyupo... sasa kwanini mimi nisifike huko... nakula vizuriii nalala vizurii... kwa afya yangu niliyonayo nitapiga makumi mawili manne,,, makumi mawili manne NNAUHAKIKA''
hakuishia hapo akaongeza '' vitoto vidogovidogo vinakufa hovyo wengine kwashakoo wengine.... '' mwisho wa kunukuu... akimaanisha yeye anakula vizuri analala vizuri kwanini MUNGU asimfikishe huko anakotaka kufika kama mama yake.. wakati huo JULIUS alikuwa anasherehekea miaka 75 ya uhai wake. na akasema atapiga makumi mawili manne.. kwa wale wajuzi wa hesabu mtusaidie hapo alimaanisha nini.
hivyo mkuu hii hotuba haitoweza wekwa hadharani na ilipigwa marufuku kuirusha. tatizo ndio hiloo la kujiona yeye anauwezo wa kufika miaka anayotaka kuishi lakini Mungu mkuu hakumaliza mwaka MAMA akavuta na baadae tena mtoto (julius) nae akafuata na ndio ukawa mwisho wa mzee JULIUS.
na katika hotuba yake aligusia mambo ya siasa na ndipo alipoigusa CHADEMA kuwa kuna utitiri wa vyama vingi tu lakini haoni chama kitakachoweza kuking'oa CCM zaidi ya CHADEMA.
Mkuu sasa kwanini umenote mambo ya kuishi miaka makumi manne, hujaweka ya Chadema yote? Tunaomba utuwekee hapa neno kwa neno juu ya hilim